Sisi watu Wasio waadilifu
Wasiosoma
Mapato na Matumizi
Hao tunawapigia chapuo wawe Viongozi wa kumuongoza fukara na kumuinua kiuchumi.
Watu wenye uwezo tunawawekea zengwe na kuwapachika sifa za...
Africans, we are poor, lakini we are acting rich.
Kwamba unaogopa kusemwa?
Unaogopa kuitwa masikini?
Unaogopa lawama za kutoarika watu?
Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea?
Au ndio njia...
Suruali ina mifuko, wekeni funguo mfukoni jamani. Unaponing’iniza kwa sababu ya kuionesha kwamba umekuja na gari nahisi ni ushamba fulani wa kiwango cha SGR.
Katika utamaduni wa Kiafrika, kuheshimu viongozi ni jambo la muhimu. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la tabia ya kuwapongeza viongozi kupita kiasi, hata wakati...
😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu!
Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa...
Sijui kama mmegundua hiki kitu.
Mwezi huu kila mtu niliyewasiliana naye pamoja na mimi walisema wanaumwa mafua makali kabisa ya kuja na homa...hasa mimi sijaelewa hili ni janga la kitaifa au kuna...
Wakati wa majanga kumekuwepo na kasumba viongozi kutangulia na makamera yao wakielekeza wataalam namna ya kufanya uokoaji!
Hii haina afya kabisa!
Kwa waliosomea elimu ya majanga watanielewa...
Naomba usiniambie haiwezekani, tafadhali!
Hiyo milioni kumi haitatumika kwa kazi nyingine zaidi ya kuzalisha hela nyingine, ili baada ya miaka mitano ziwe zimeshafika bilioni mbili.
Ingekuwa ni...
Katika ulimwengu wa sasa unaokua kwa kasi sana kiteknolojia na kijamii, maarifa ni hazina muhimu inayoweza kukusaidia kufikia malengo yako na kuboresha maisha yako. Lakini swali ni: Unawezaje...
Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa...
Wanajamii,
Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Mohamed Mpakanjia aliyekuwa mume wa marehemu Amina Chifupa Mpakanjia hatunaye tena.Amefia hospitali ya Lugalo.
Habari zaidi baadaye.
Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi...
Habari za muda huu waungwana, kutokana na ujenzi unaoendelea wa upanuzi wa barabara kutoka Ubungo mpaka Kimara mwisho haya mataa ya hapa Korogwe, Bucha (kwa Thomas) nasikia hili jina lilikuja...
UPWEKE UMEWAANZA VIJANA MAPEMA, UZEENI SIJUI ITAKUWAJE. NI JANGA KUBWA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi sema unafurahia maisha ukiwa pekeako. Mtu mpweke hawezi kuwa na furaha. Mpweke ni...
Isaya 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu;
Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu...
Yatupasa Sasa
Ili kuisaidia nchi ni lazima.kwanza kuhakikisha
Machawa
Wanafedheheka
Wakomeshwa utopokwaji bila kutumia akili .
Tukifaulu hapa
Wale Wajanja wajifichao
Wenye kuwatanguliza...