Matt 7:22-23
"Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri...
Kuna mtu ananishawishi kua siwezi kuuona ufalme wa Mungu bila kupitia kwa Yesu,
Wakati huo huo tukibishana siasa anasema Israel ni taifa teule, na ni "choosen pepole"
Lakini ni wazi kua wa...
Nipo nasikiliza Radio nimeikuta habari katikati sijaelewa ni nini Kinachoendelea huu mtaa wa Livingston karibu na bank ya NBC hapa Kariakoo.
Nilichosikia ni kwamba Ghorofa ndo limeleta kashi...
Majanga ya asili duniani yapo na yanaweza kutokea muda wowote. Kuna maeneo mfano Asia nchi kama za Japan, China, Indonesia, Uturuki, Iran n.k wao matetemeko ya ardhi ni sehemu ya maisha, nchi kama...
MAJANGA! MAGHOROFA 64 KARIAKOO HATARINI KUPOROMOKA....!!
Dar es
Salaam.Maghorofa 64 yaliyopo eneo la Kariakoo, Manispaa ya Ilala yamejengwa kinyume na sheria na kwamba baadhi yanaweza...
Habari ndugu,
Kuna Viwango vya kiroho(waliopata uamsho wa kweli na enlighted one) ukifika utajua kwamba Mungu unayemwabudu ni wewe mwenyewe.
Tunatofautiana ufahamu na viwango vya kiroho ,ndio...
Nilikuwa na ndoto ya muda mrefu sana ya kuandika kitabu changu cha taaluma niliyosomea, kuna somo nipo nondo vibaya mno !!
Hofu yangu kubwa ilikuwa ni english kwenye mambo ya grammer, articles...
Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status...
Salaam Wakuu,
Pamoja na kwanza Mawakili hasa wa kujitegemea na Wananchi wote wanampenda Mwabukusi, lakini Serikali imeshatia Mguu, Mawakili wote wa Serikali wamelipiwa kwenda Dodoma kupiga Kura...
Siku mbili tatu nimekuwa nikichati na chatgpt na nimekuwa nikimuuliza maswali, kuhusu maelezo mafupi ya muziki wa juice wrld na kupelekea kujikuta nikimuuliza na maisha yake juice world...
Ahlan wa sahlan
Naiomba serikali ifunge hizi ofisi uchwara zilizopo hapa maeneo ya shekilango na Urafiki. Mabasi ya mikoani yamekuwa hayaendi tena kupaki stendi ya Magufuli pale Mbezi badala yake...
Ni kweli tupo kwenye majonzi kama Taifa hivyo yatupasa kushikamana na kuondoa tofauti zetu na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu kama Taifa.
Nimesikia kauli ya mheshimiwa Rais kuwa...
Hili swala la mtu unaleta hoja au unatoa wazo halafu anatokea binadamu mmoja anaanza kukutukana. Sasa unalazimisha akili zangu ziwe zako!?.
Kila mtu ana namna yake ya kufikiri na kuwaza...
Utangulizi
Majanga kama kuanguka kwa majengo, matetemeko ya ardhi, na moto yameendelea kuhatarisha maisha ya watu duniani kote. Katika nyakati kama hizi, uwepo wa teknolojia za kisasa unaweza...
Kitu gani watu wananunua kwa pesa nyingi kwa lengo la kupata STATUS, lakini ili mtu a recognize hicho kitu ni cha gharama ni either awe nacho au ni mfatiliaji sana wa vitu hivyo?
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo...
Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati πππ
Pia soma > Ghorofa limeporomoka...
Ufalme wa Mungu ni tofauti kabisa na mifumo ya Dini na madhehebu. Dini na madhehebu ni Matakwa ya kibinadamu ya kumtafuta Mungu, na mfumo huu kamwe hautakuja kufanikiwa milele wala haujawahi...
Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20.
Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate...
Kwanza asanteni Kwa kuwa wakweli, maana maji yenu imekuwa bidhaa adhimu huku Kwetu. Kama notisi π
Ndugu mteja A/C A1049*31*76*, KUMBUKUMBU 99104*30*06* , Bill yako ya Novemba/2024 umetumia uniti...