Mungu unayemtumikia,ni wewe mwenyewe!

Mungu unayemtumikia,ni wewe mwenyewe!

Utajua wewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2024
Posts
928
Reaction score
1,854
Habari ndugu,

Kuna Viwango vya kiroho(waliopata uamsho wa kweli na enlighted one) ukifika utajua kwamba Mungu unayemwabudu ni wewe mwenyewe.

Tunatofautiana ufahamu na viwango vya kiroho ,ndio maana wengine watakuwa wagumu kunielewa .
Haya mambo ya dini ni mipango ya wanadamu tu wala isikuchanganye.

Jambo kumbwa nikujijua wewe nia nani?

Shida kumbwa ni kwamba watu wengi wanataka kumjua Mungu na huku hawajijui wao ni nani?

Mwanadamu ni zaidi ya huo mwili unao uona na majina.

Imani inabidi uelewe lasivyo utaishia kuwa shabiki.

Mungu unayemtumikia ni wewe mwenyewe.

Siku njema..
 
Na Mungu aliyepondani ya ufalme uliopo ndani yako ,ndio unayemtumikia ambayo ni wewe mwenyewe
 
Kwamba wewe umejiumba mwenyewe ndani yako sio? Unaongea kana kwamba una kipande cha ndizi matakoni
Mkuu tumia lugha nzuri mbona nitakuelewa tu

Kwanini nani kakwambia wewe umeumbwa ?
Mungu kwenye vitabu vyenu anasema ameumba watu wawili tu

Ogopa matapeli
 
Nakubaliana anaye Huyu Jamaa kwa 95%
Unajua Nakumbuka Kipindi naanza kufatilia Maswala ya Spirituality kipindi sasa Nimekwiva Kqeli kweli Ndo kipindi Nimetoka kuwa Myahudi 🤣🤣
Nina Nondo zangu za Uchungaji Nikawa Mwislamu nikawa myahudi..
Nakumbuka Nilikutanaga na Myahudi Kutoka Kwenye Spirituality hawa wanaomini kwwnye Kaballah..

Akanambie Nijitambulishe Bila kutumia maneno Ambayo nimeyarithi kutoka kwa watu..

Yaani nijiyambulishe mimi ni nani bila kutaja jina (ambalo nimepewa) na Kila utambulisho niliyo pewa nisiutumie..
Nilikaa nusu saa nzima nafikiria Nitumie utambulisho upi ila ilibidi nianze kujifunza Kwake Elimu ya Kiroho japo baada niliama school..

Nilipoenda florida mwaka fulani nikajifunza Kuhusu Elimu ya Meditation through Light amd sound..

Nikamaliza Nikapitia School nyingi sana za Spiritual so Ni mwaka wa 14 huu Nikiwa mtu kamili wa rohoni hahaha
 
Labda vitabu vyenu. Ila chetu Allah anathibitisha ya kuwa amemuumba mwanadamu kutokana na tone la manii
Tone la Manii linapitia Mabadiliko mengi Mungu huumba Mabadiliko gani kati ya hayo Meoisis au Mitosis au ni sehemu gani ya kisayansi??
 
Nakubaliana anaye Huyu Jamaa kwa 95%
Unajua Nakumbuka Kipindi naanza kufatilia Maswala ya Spirituality kipindi sasa Nimekwiva Kqeli kweli Ndo kipindi Nimetoka kuwa Myahudi 🤣🤣
Nina Nondo zangu za Uchungaji Nikawa Mwislamu nikawa myahudi..
Nakumbuka Nilikutanaga na Myahudi Kutoka Kwenye Spirituality hawa wanaomini kwwnye Kaballah..

Akanambie Nijitambulishe Bila kutumia maneno Ambayo nimeyarithi kutoka kwa watu..

Yaani nijiyambulishe mimi ni nani bila kutaja jina (ambalo nimepewa) na Kila utambulisho niliyo pewa nisiutumie..
Nilikaa nusu saa nzima nafikiria Nitumie utambulisho upi ila ilibidi nianze kujifunza Kwake Elimu ya Kiroho japo baada niliama school..

Nilipoenda florida mwaka fulani nikajifunza Kuhusu Elimu ya Meditation through Light amd sound..

Nikamaliza Nikapitia School nyingi sana za Spiritual so Ni mwaka wa 14 huu Nikiwa mtu kamili wa rohoni hahaha
Safi sana.
 
Tone la Manii linapitia Mabadiliko mengi Mungu huumba Mabadiliko gani kati ya hayo Meoisis au Mitosis au ni sehemu gani ya kisayansi??
Elimu ya namna Mwenyezi Mungu alivyomuumba binadamu huwezi kuipata kwenye comment zangu. Kama unataka niDM uniachie namba yako ya simu mie nikutafute nikueleze kwa mapana na marefu kulingana na yeye mwenyewe Mwenyezi Mungu alivyoeleza kwenye kitabu chake kitakatifu cha Qur'an. Hapa hata nkikuambia mfano ni "Mitosis" unaniuliza tena za njano au za kijani?
Nkikuambia za njano utauliza tena za juu au za chini? Yaan ilimradi tubishane tu
 
Back
Top Bottom