Kuna wimbi la watu wasiojua hata historia yao ya kiafya na ambao hawajui chochote kuhusu Waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya...
Kuna uhusiano gani kati ya masikini mwanake na mapepo mizimu majini na ulokole? Wanasaikolojia tusaidieni mtuhusishie hayo mambo na aina ya watu hao.
Sio rahisi kumkuta tajiri kama ameshikwa na...
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri.
Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na...
Kwa sisi waumini wa Mungu tunaamini kutenda mema kwa vitendo na kupinga uonevu kwa mtu yeyote. Kwa wale wa umini tujiulize je leo ukienda mbele ya haki na kuilizwa na Mungu maswali haya utajibu...
Ulaya imejengwa na ukabila.
watu wa kabila moja waliamua kutengeneza Nchi yao. kwakua wanasikilizana, wana Miiko sawa ndiyo maana Nchi zao zilikuwa kwa haraka Kiuchuni. Unlike Africa, Makabila...
Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini
Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada...
Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa.
Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda...
1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote...
Kwenye dunia ya sasa, watu wanatumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii. Kutoka Instagram, TikTok, hadi Twitter, mitandao imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Lakini siyo tu...
Dakatari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof.Mohammed Janabi ameendelea kutoa Elimu ya Lishe na Kinga ya Magonjwa ya Moyo na kisukari...
Tuliahidiwa malipo ndani ya week mbili sasa inaenda miezi, huku ukitoa mapesa kwa taifa stars, roho inatuuma sana, na sisi tukumbuke.
Pia soma
- KERO - NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Mashirika ya Umma Na. 2 ya mwaka 1992 ameivunja Bodi ya Kampuni ya...
Habarini ndugu,
Nimekuwa nikifatilia mara nyingi sana mtu unaweza kuletewa hata kuku 10 kama zawadi na ukaamua kuwafuga katika banda la hovyo tu ajabu ni kwamba watazaliana ingali huwapi chakula...
Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imetembelea soko la Makumbusho jijini Dar es Salaam kutoa elimu na kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu utapeli wa kimtandao. Zoezi limefanywa kwa lengo la kuwasaidia...
Serikali ya Tanzania inafanya mazungumzo na Adani Group ya India na Gridworks Development Partners ya Uingereza kwa ajili ya kuingia ubia wa uwekezaji katika Mradi wa Umeme kwa Dola Milioni 900...
Habarini familia ya JF;
Poleni na Musiba na Majanga ya Kariakoo.
Naomba kujua Mimi niko na Namba za NIDA Muda mrefu sana ila sina kitambulisho cha Nida
Sasa kinatakiwa haraka kuna mtu Kaniambia...
"Ni kweli nilimuua Happiness na nilimuua Kigamboni mji mpya nyumbani kwetu kwenye chumba ninacholala,” hii ni sehemu ya maungamo ya muuaji wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Happiness...
Kama hutaki uislam unataka nini tena wewe?
Maisha ya Waislamu peponi, kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi za Mtume Muhammad (SAW), ni hali ya furaha, amani, na starehe zisizo na kifani. Pepo...