Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiachana na hii video.., 1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku. 2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Sio humu tu, nenda kwenye mitandao mingi tu. Sikiliza vipindi vya redio, televisheni, maofisini, mashuleni, utajionea ukweli huu,haraka ya kujibu bila kuielewa hoja, kujibu hoja kwa matusi...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi. - Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa...
11 Reactions
230 Replies
15K Views
👉Hii miji imekaa kitapeli tapeli inapofika kwenye swala lz mahusiano Kila mtu kamtarget mwenzake be carefully 👉Linda moyo wako, nguvu zako zote, pesa na muda wako 👉Dares-Salaam na arusha ni kwa...
2 Reactions
8 Replies
683 Views
Katibu wa Chadema Jimbo la Rukwa amewataka wananchi kuichagua Chadema kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwani ndio chama kinachojali wananchi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Mpishi maarufu kutoka Kenya, Dennis Ombachi akimuelekeza Jonathan Jooste, Kaimu Meneja Mkuu wa Coca-Cola Kwanza namna ya kupika Chicken wings wakati wa hafla ya kufunga mwaka la Kitaa Food Fest...
0 Reactions
0 Replies
322 Views
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa onyo kali dhidi ya vitendo vya kuwahusisha wananchi wanaoiunga mkono ACT Wazalendo na madai ya kufutiwa msaada wa Mpango wa Kunusuru...
2 Reactions
4 Replies
629 Views
02 January 2024 MZOZO WA UAGIZAJI MAFUTA BAINA YA KENYA NA UGANDA Kufuatia kinachodaiwa bei ya juu ya udalali inayofanya Kenya juu ya nishati ya mafuta Uganda inayoagiza kutoka nje, Serikali ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Vijana wengi wenye harakati zao hapa mjini utasikia wakisema ooh mimi siwezi kuishi kigamboni, mara usafiri wa taabu sana, ivi hii changamoto itakuja kuisha kweli?
2 Reactions
6 Replies
511 Views
Wale wakiofika pale page Znz beach Kuna hotels kadhaa Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan Na chini pia kuna sehemu ya kukaa...
14 Reactions
25 Replies
1K Views
Unapopitia wakati mgumu ndio unapata ufahamu na uzoefu wa kujisaidia mwenyewe. Ukipitia magumu watu wanakuchoka, wanakata tamaa ya kukusaidia na kuna wanaotamani kukusaidia hawana uwezo wa...
5 Reactions
11 Replies
911 Views
Kwa kusoma kwangu maandiko mpaka hapa tulipofikia, ninaamini haya. Malaika ni weupe kama Wazungu Binadamu wa kwanza, yaani akina Adam walikuwa weusi. Sijajua kama na nyie mmegundua hili! Ila...
1 Reactions
0 Replies
523 Views
1. Congo Tower 2...... 3......... Tuendelee kuyataja hapa chini
6 Reactions
96 Replies
5K Views
Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Jumapili ya leo nimepata wasaa wa kukumbuka mila na desturi za mababu. Nimekumbuka jinsi ukoo ulivyokuwa unakutana kwa ajili ya kuwaomba mababu zetu watuombee kwa Mungu wao ili kufunguliwa juu ya...
10 Reactions
18 Replies
878 Views
Madawa ya kulevya yaweza kuwa yanaongoza Kisha inakuja ya kuuza silaha haramu Kusafirisha binafamu Bidhaa feki nazo ni top selling products.. Pombe zikiwa kinara Kwa Afrika wafanyabiashara mafia...
11 Reactions
44 Replies
3K Views
Cryogenic pod (short : cryopod) ni single device iliyotengenezwa kitaalamu to freeze a person in cryogenic suspension. A cryopod imeundwa na vifaa vyote kwaajili ya kumgandisha mtu kwenye...
0 Reactions
9 Replies
638 Views
Afya ya akili kuongeza utulivu wa kihisia - Simu zinachangia sana kutibua hisia, upo whatsapp / instagram mara unakutana na status za watu mnaojuana wametoboa huku wewe unajitafuta, wameoa /...
6 Reactions
10 Replies
752 Views
Huwa nasikia watu wa kabila fulani anasema kabila fulani ni watani zake, mfano utasikia msukuma anasema mgogo ni mtani wake n.k Nini kinachopolekea kabila fulani kuwa watani wa kabila lingine...
1 Reactions
11 Replies
589 Views
Ni vi ajira fulani hivi vya kiusaliti kwa nchi. British Council na Allaaa Franswaa(kituo cha utamaduni cha ufaransa?) Ndio zao, ni extension ya TISS ya nchi hizo. Ila sijamsema Sugu na Bongo...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…