Hivi Kwa gharama za zaidi ya Bilioni 16 zilizotumika kujenga Soko la Mwanjelwa ndiyo tumeamua kuligeuza Parking ya magari?
Licha ya gharama kubwa zilizotumika kulijenga Soko hilo lakini...
DODOMA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wasajili wa Hati na Nyaraka Wasaidizi katika ofisi za Ardhi za Mikoa kuhakikisha wanatoa hati milki za...
Sijui Hayati Magufuli niseme ni nabii au aliona mbali hadi kutamka kauli ile, maanake mm binafsi nimekuja sasa kujua kuwa hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kila kitu wanapinga na hata wamefika...
Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya...
Katika huu uzi siongelei ndugu zangu Waislamu hawa "secular" wa mjini ambao wanaingia msikitini mara tatu kwa mwaka, ndugu zangu hawa ambao tunashinda nao kwenye mabaa, ndugu zangu hawa ambao...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu, na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe. Mama Mariam Mwinyi amesema maradhi ya Saratani ni hatari na...
TAARIFA KWA UMMA.
Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa linawashikilia watu saba kwa kosa la kutishia kuua kwa Maandishi huko katika kijiji cha Ngelenge Kata ya...
Wakuu, leo Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) kwa kushirikiana na JamiiForums tutashiriki mjadala muhimu utakaohusu Mbinu za Kukomesha Ukatili na Mauaji ya Wenza.
Mjadala huu unalenga kutoa elimu...
Mara nyingi nimeona akina dada wakikataliwa kuhudumiwa katika ofisi za uhamiaji kwakuwa aidha wamevaa nguo zinazoelezwa maafisa kuwa ni fupi au za kubana. Nani anaweka vigezo hivi? Mbona neno uchi...
Pesa Ndiyo Chanzo cha Mema Yote!
Unadhani pesa ni chanzo cha uovu? SIVYO. Kutana na Pesa—kabla hajaharibiwa na tamaa na wivu. Aliwasaidia watu kubadilishana thamani kwa thamani, akichochea...
Katika watu ambao walikuwa wabishi kuhusu uwepo wa Mungu mimi wa kwanza na nilikuwa na sababu zangu
Sababu hasa ilikuwa matatizo ambayo nilikuwa nayo:
Nilikuwa na matatizo ya ugonjwa wa ini...
Hili ambalo kiongozi ACT wazalendo, amelizungumzia akribani mwaka sasa umepita BADO LIPO LINAENDELEA MAENEO YALE YALE mwenyewe ni muathirika na swala hili.
Jamani eeh hii bado Inaendelea na Ni...
Uislam ukiwa na watu wachache kwenye nchi au sehem yenye mamlaka ni dini nzuri lakini tatizo ni pale wanapokuwa wengi balaa ndipo huanza.
Kunazuka mashambulizi dhidi ya wakristo kwa kuonekana ni...
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati...
Wakuu sijui ndiyo uchawi au ndiyo wivu au sijui nini wakuu najikuta naichukia mikoa tajwa hapo juu Kilimanjaro,Arusha pamoja na Mbeya sijui kwanini japo watu wake wengi nimeishi nao vizuri tu ila...
SOKO ACHAGULIWA KWA KISHINDO KUWA MWENYEKITI MPYA WA MISA -TAN
Wednesday, December 04, 2024
Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko
Mwenyekiti Mpya wa MISA- TAN Edwin Soko
Na Kadama Malunde...
Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k...
Wakuu,
Watu wasiopungua 79 wamefariki hivi karibuni kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao una dalili zinazofanana na mafua katika eneo la kusini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro.
Si network ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.