Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend.
Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
UPDATE:
Eastern Africa's population growth between 2014 and 2024:
1) Ethiopia: 30% up to 129 million
2) Tanzania: 38% up to 69 million
3) Kenya: 22% up to 56 million
4) Uganda: 38% up to 50...
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 107 YA UHURU WA FINLAND
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameshiriki sherehe ya Maadhimisho ya...
Salaam Wakuu,
Baada ya Mdau wa JamiiForums aliyejitambulisha kama Dereva kudai NEMC imewachelewesha Mpani kwa wiki Mbili, NEMC wamewataka Madereva hao kuwasiliana na Wakala wao.
"Kwa muda wa...
Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira.
Kemikali ya...
Ikiwa muda si mrefu tumetoka kuadhimisha miaka takribani 30 tangu masuala ya jinsia kuanza kutafutiwa suluhu huku wakiegemea kwa jinsia ya kike zaidi. Wanaume wanaonekana kama maadui na wasiofaa...
Cult ni aina ya utapeli unaofanywa kwa mgongo wa dini/imani. cult yoyote inakuwa na dalili kuu hizi hapa: cult yoyote lazima iwe na kiongozi mkuu mmoja na hakuna kinachofanyika bila ruhusa ya huyo...
Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikiona vikosi vya jeshi wakitembea mtaani hapa Tabora, wakiwa wameshika bunduki, wakitembea kwa mstari, ukipita maeneo ya kule Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wao ndio...
Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi.
Namba baada ya jina la...
Kuna watu wapo wakilalama naakufikia kusema wanajuta kuzaliwa watanzania wanatamani wangezaliwa nchi zingine bila kujua kila mwanadam amepangiwa ridhiki yake hapa Duniani na vyote tunavyoangaika...
Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu.
Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo...
POLICE na Magereza wote ni Wizara Moja, inasemekana huko kunako Prisons wamesafirishwa toka ifunda hadi Iringa mjini kituo cha POLICE. Prisons walikuwa safarini kwenda Mbeya wakitokea Kagera...
Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata...
Kwa mujibu wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa ya Takwimu (NBS) kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 inaonyesha Mkoa wa Tabora unaongoza kwa watu wake kutokujua kusoma na kuandika jambo...
Baada ya kuanguka kwa Utawala wa familia ya Asad wa miaka 54 tangu Baba ake Asad kuchuka madaraka Syria mwaka 1970. Waasi wamtenganza ya fuatayo ya kujifunza:
1. Nyie wanajeshi msivamia Imani ya...
Kama nilivyojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu kwa waliowahi kufika nje ya nchi na hata ambao hawaja wahi pia kufika.
Naomben msaada wenu nataka kwenda Dubai au Canada about education...
Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita.
Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha...