Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje...
1 Reactions
6 Replies
535 Views
Sijatambua ni mungu wa aina gani ambaye anaabudiwa na wanawaisrael sababu kubwa ni kwamba. Kipindi yakobo anatokewa na Mungu beer sheba kama sikosei aliweka jiwe la agano,je hatuoni kiwa...
0 Reactions
1 Replies
336 Views
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, Basi nawakaribisha SHALOOM AFRICA kwa ajili ya huduma zote za kiofisi. Tunapatikana Buguruni sheli na namba zetu zipo kwenye bango letu. Karibuni sana.
1 Reactions
0 Replies
320 Views
Kusaidia wengine ni tendo la heshima na ubinadamu, lakini si kila mtu anayekuomba msaada ana nia njema. Kuna watu ambao, badala ya kujiboresha kupitia msaada wako, wanatumia ukarimu wako kama njia...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
Mtanzania halisi hapendi kazi anapenda kupumzika kila wakati, kama siku ya mapimziko imeangukia alhamisi hata ijuuma hata enda kazini mpaka siku ya j3. Kipindi mimi ni mtumishi kuna wakongwe...
1 Reactions
21 Replies
838 Views
Wakuu, Pale ambapo taarifa inakuja zaidi ya saa baada ya umeme kukata! Walikuwa wanasikilizia kwanza kuona muujiza ama? Nyinyi TANESCO na DAWASA Wizara ya Maji siku hizi hamna maana kabisa. Mbu...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Leo nitatoka mkoa jirani nilipo nitasogea Arusha kuchukua GITAA la garatoni ili niweze kuanza rasmi mafunzo ya gitaa. Nina ndoto toka zamani kuja kuwa mpiga vyombo vya muziki...
1 Reactions
8 Replies
743 Views
Nipo mahali aisee mdada kajifunguliq nyumbani sasa kijana now yupo 15yrs hana maamuzi anakosa hata ule uhuru binafsi kama mtoto kila kosa akifanya malalamiko anatukanwa Baba yake na kabila zima
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali. Akizungumza na...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Anonymous
Habari za muda, Mimi ni mdau kutoka Kimara Temboni Saranga mtaa wa Majeshi, tuna changamoto ya maji kukatika ni wiki ya pili sasa hivi inaelekea na tumesharipoti kwa DAWASA lakini hadi hivi sasa...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amekagua Ujenzi wa Shule Tarajali ya Sekondari iliyoko Kata ya Kawetele Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe na kuwataka Wananchi kuwa Wasimamizi na Walinzi...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Rais mteule wa Marekani Donald Trump akiwa sasa yupo kwenye maandilizi ya kurejea tena kushika usukani na kuliongoza taifa la Marekani Januari mwaka 2025, ameanza kujenga uhasama na nchi washirika...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Naomba serikali iingilie kati suala la unywaji wa pombe uliokithiri katika wilaya ya Rombo, Serikali imeruhusu uanzishaji wa viwanda vya pombe za bei rahisi, "Pombe za Kijani" kwa kuangalia mapato...
8 Reactions
75 Replies
5K Views
https://www.youtube.com/watch?v=-yZfMNUBE8U Mkutano wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
2 Replies
630 Views
Kwanza kabisa naomba kuuliza maana asojua maana anatakiwa kuambiwa. Tunaposema nchi flani imeendelea kupiga hesabu la pato la Taifa lakini ukiangalia pato la Mwananchi siyo la kuridhisha huwa...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Nimeamua kuandika mada kutokana na tatizo la mmoja wetu hapa JF kule kwenye mada ya pombe na wanywaji/walevi. Huyo ndugu yetu ana tatizo na ulevi, hana control na kila akilewa hufanya mambo ya...
35 Reactions
175 Replies
22K Views
Kwa muda wa miongo miwili sasa China imeendelea kuwa mmoja wa wawekezaji wakubwa nchini Tanzania, na takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa mwaka 2023 peke yake uwekezaji wa moja kwa moja (FDI)...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne? Kama kariakoo tu ni hivi...
2 Reactions
13 Replies
608 Views
Anonymous
Kumekuwa na tabia ya madereva wa mabasi ya usiku kwenda mwendokasi licha ya abiria kupaza sauti, mabasi yamekuwa yakienda kwa mwendo Kasi Hadi 120km/h speed kitu ambacho ni hatari. Mathalani basi...
2 Reactions
1 Replies
475 Views
Watu wanaofanya kazi ya production huko acheni kutuwekea chemical nyingi hadi maji yanakuwa machungu na inaharufu ya dawa kabisa. Haya maji ndio yalikuwa the best sasa kama mnazidisha chemikali...
15 Reactions
143 Replies
5K Views
Back
Top Bottom