Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Kufulia kusikie tu kwa jirani.kuna kipindi kama miaka minne imepita,niliwahi kufulia kiasi kwamba nilikosa hata mia mbovu mfukoni.nikaona mambo yasiwe mengi nikauza zangu laptop yangu ilikua...
22 Reactions
63 Replies
2K Views
Wimbo huu mzuri mpya kabisa wa Justin Wellington Iko Iko namdediketi tundu lissu. Mwamba asiechuja. Mwenye nao wa video autupie hapa.
1 Reactions
1 Replies
266 Views
Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu *****...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limepiga marufuku wananchi kulipua vilipuzi (fataki) bila kuwa na kibali cha Jeshi la Polisi katika Sikukuu Za Krismasi na Mwaka Mpya. Kamanda wa Jeshi la...
0 Reactions
5 Replies
402 Views
Tabia kama hii kwa sie waafrika imekithiri .Hakuna mzungu anayetoa hela bure tujitaahidi hata kama unataka umpe mtu pesa unampa hata kazi yeyote ili mradi afanye kazi hata unaweza kumwambia...
8 Reactions
15 Replies
793 Views
Swala la Yesu kuzaliwa liko wazi Kwa Kila mtu, Yesu alizaliwa (Luka 1:26...) inaitwa incarnation ,hapa Waislamu mtanisamehee! Yohana 1:14.....15, Neno akafanyika mwili, akakaa kwetu nasi tukaona...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Habari za muda huu, tena. Leo nitaongelea na hili pia. Nina uzoefu mkubwa mno wa kuwa karibu na Watanzania wa hadhi mbali mbali, hivyo mengi nimeyaona na kuyafahamu. Kwa Tanzania, hususani...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Hizi chaguzi zina raha yake jamani, huku Mbeya karibia kila Mtaa utakaopita unakutana na Magreda yakiendelea na kazi ya kurekebisha Barabara. Hii huwa inatokea kila tuingiapo kwenye kipindi cha...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu! Prof Janabi ametuma ujumbe kwa ndugu zetu wa Rombo mkoa wa Kilimanjaro kwamba maji na matunda ndiyo muhimu katika kula na kunywa katika kipindi hichi cha sikuu ya Xmass. Ila Janabi...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kuendelea kuimarisha usalama barabarani na kuzuia ajali zisitokee limefanya operesheni, misako na ukaguzi wa magari iliyofanikisha kuwakamata jumla ya...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Ni wiki sasa imepita tangu nipitie njiapanda ya Segera askari wengi wakishirikiana na baadhi ya maofisa wa T.R.A hapo wanapokea rushwa wazi wazi bila woga . Wakati wa usiku unapofika hapo askari...
1 Reactions
5 Replies
537 Views
Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death...
6 Reactions
15 Replies
998 Views
Kila kabila au mkoa una utambulisho wao hapa mjini Dar 1. Watu kutoka Tanga Hawa hujulikana kama waganga wa kienyeji, Yaani ukimwambia mtu unatokea Tanga mtu atakuwazia mganga tu Kwa wanawake wa...
2 Reactions
4 Replies
611 Views
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, amethibitisha kutokea kwa ajali leo asubuhi, saa 12, katika eneo la Michungwani, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni. Ajali hiyo, iliyohusisha lori na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
DIRA YA TAIFA 2050, HAKUNA AMANI BILA HAKI Kwenye Mkutano wa Kongamano la Vijana la kuangazia Rasimu ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Nilipatata fursa ya kutoa maoni juu ya kuboresha Shabaha...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Ushauri wa bure, ujana wako utumie kwa adabu zote usiwe na muda wa kupoteza kwa mambo yasiyokuwa na faida , Tengeneza familia yako weka kipaumbele maendeleo yako ya kiuchumi , starehe na...
15 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii trend ya kuunguza masoko bado haijaisha tu? Naambiwa soko la Karume limeungua lote na hakuna kilichobaki. Hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuunguza masoko ya machinga maeneo mbali mbali...
32 Reactions
433 Replies
36K Views
Soko Kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam linaungua moto usiku huu huku jitihada za kuuzima zikiendelea. Akizungumza na Mwananchi kwa simu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla...
14 Reactions
388 Replies
50K Views
Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu. Hawa niwavuja jasho masikini wanahangaika kupata mehemeo ya watoto wao masikini hawana pakwenda leo kila siku wanachomewa...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe..... Ukaoneshwa mtu ambaye...
0 Reactions
3 Replies
601 Views
Back
Top Bottom