Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

โ€œWatu wanaenda Krismasi na nyie wote mlioko hapa mnaenda Krismasi, wapo wa Moshi, wapo wa Arusha, wapo wa Mbeya, wapo wa Iringa na wengine Songea nyumbani kwetu, ulaji utakuwa wa kupitiliza, ulaji...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
๐— ๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—บ๐˜‚๐˜‚๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฝ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ถ Dunia na maajabu yake kutana na jamaa mmoja anaitwa Luigi Mangione muuaji aliyetokea kupendwa na wamarekani wengi haswa watu wenye hali ya chini baada...
1 Reactions
3 Replies
394 Views
Eti leo bank zipo wazi katika huduma ya western union, naweza nikaipata!?.
0 Reactions
2 Replies
310 Views
Anonymous
Kwa takribani miezi mitano, Mzabuni aliyechukua tenda ya Ukusanyaji taka katika Mitaa ya Chanika ya Gogo, Bondeni na Polisi wameshindwa jukumu hilo, hakuna taarifa rasmi au maelezo kutoka Serikali...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini...
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa kuwa kuanzia saa Fulani Hadi Fulani kutakuwa na jambo Fulani kwahiyo hamtakuwa...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
Habarini za weekend wakuu, leo nimepitia nyuzi mbalimbali zinazohusu forever living products, nikaamua na Mimi niweze kushare kitu kuhusu hii kampuni. Kwanza nakiri kuwa niliwahi kujiunga na...
11 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari Wandugu! Leo kero yangu ipo kwa wasafirishaji wa abiria Mikoani haswa masafa marefu ya kuanzia masaa sita na kuendelea. Ni kawaida kwa wasafirishaji wa mabasi kutokuwa na vyoo ndani ya...
3 Reactions
5 Replies
677 Views
Aslaam, Kuna wakati kama binadamu unatakiwa ujitafakari. Mim binafsi nimejitafakari na kugundua nimechelewa saana katika maisha. Na Moja yakitu kilichonichelewesha ni hofu. Asikuambie mtu hii...
22 Reactions
57 Replies
2K Views
Heri ya Xmas Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini...
1 Reactions
5 Replies
624 Views
๐Ÿ“–Mhadhara (68)โœ๏ธ Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo...
6 Reactions
4 Replies
850 Views
Wasalaam wakuu! Kwanza kabisa Nakubaliana na ushauri wote wakitabibu kuhusu aina sahihi ya chakula na namna nzuri ya ulaji kutoka kwa Daktari bingwa na mkuu wa kitengo cha magonjwa ya moyo...
30 Reactions
103 Replies
7K Views
Hili vibe la uchagani na upareni this time sio poa wanangu Yaani toka nimefika huku ni mwendo wa kulewa tu Watu tunalewa hadi miguu inakosa nguvu magari tunasaidiwa kuyadrive oya sio poa Uchawi...
5 Reactions
4 Replies
407 Views
Bila kuanza kutoa huwezi kupokea, hii ni Kanuni ya asili ya ulimwengu aliyoweka muumbaji, hata walimu wa theolojia wanatufundisha kwamba upendo wa Mungu upo maximum and constant haupungi Wala...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
1.kuosha vyombo 2.kudeki ndani 3.kutandika kitanda 4.kupika 5.kuogesha mtoto 6.kumfulia mkeo/mpenzi wako nguo NB. Haya yote usifanye isipokua kama mkeo/mupenzi anaumwa serious
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
๐Ÿ‘‰๐ŸพMafundisho ya Yesu Kristo yalikuwa ufunuo wa kimungu uliojaa upendo, msamaha, na haki, akionyesha muunganiko wa kibinadamu na kimungu. Alibadili mtindo wa uongozi wa wakati wake na kutoa mwanga...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ