Wakuu, Pengine mimi bado sijaelewa Essence ya hawa watu Kuji expose kwenye Community kiasi hiki, Kwasababu these people have been with Money for a while na Mostly walikuwa ni watu wa Low key ni...
Wakuu hivi nikiwaletea tende, misuli na makobazi toka uarabuni na mbele ya duka nitengeneze kijiwe cha kahawa na mijadala ya mpira na vita vya mashariki ya kati si itakuwa poa?
Merry xmass all jf members
Niseme ukweli. Hili neno waendesha uchumi nimeanza kulisikia wiki hii. Hawa watu ni kina nani? Vigezo gani vinatumika kuwachagua? Mbona sikuwahi kuwasikia awali? Kwa...
Alikuwa na mambo mengi na Vituko vingi tu ila binafsi nakumbuka kila alipokuwa akienda katika Vijiwe vya Masela wa enzi hizo wenyewe Masela walikuwa wanapiga Magoti na wanajisalimisha Kwake na ama...
Kuna ulimbukeni mkubwa wa baadhi ya watu kuendesha umbali mrefu na familia zao kwenye gari ndogo kwenda kusalimia ndugu , jamaa na marafiki huko Mikoani..
Barabarani ajali ni nyingi sana za...
Vijana kadhaa wameniomba nirudie maelezo kuhusiana na maneno “CHRISTMAS” na “X-MAS” maana wanachanganywa na wenzao. Kifupi, maelezo yanayosambazwa kwenye mitandao yetu ni kwamba “Christmas” ni...
Nimeishi vijijini na maporini kwa muda, niliyoyaona yanastaajabisha!
Watu hawazingatii usafi, wanakula matunda bila kuosha, wanakunywa maziwa hata yasiyochemshwa wala hawadhuriki kamwe!
Maji...
Wakuu habari,
Week iliyopita bwana nikiwa kwenye misafara yangu kule maeneo ya kunduchi ununio,
Sasa nikakuta vurugu pale kunduchi mtongani,
Polisi purukushani na Raia,
Sasa hiko ivi: KUNA...
Lengo ni kuweka kumbukumbu vema na kuondoa upotoshaji
Neno la hekima kwa walio.na hekima
Nukuu:
1 Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi ulikuwa chini ya miguu...
Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne...
Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich!
Merry Christmas 🌲
Ndugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabarani mjiandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yapata 8 kwa ajali. Yawafaa nini?
Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali.
Wadau hamjamboni nyote?
Ukweli lazima usemwe na uongo ukemewe.
Wafalme wa Rumi ya wakati walipiga marufuku wakiristo kuabudu siku ya...
Wakuu kwema?
Kipi kimejificha kwa hili kabila la kihaya! Kila mmoja wao akifikisha kuanzia miaka 30 tayari anakuwa na upaa.
Shida itakuwa Nini wakuu.
Merry Christmas.
Mimi ni mkazi wa Wami Dakawa, Wilaya ya Mvomero, mkoa wa Morogoro
Lalamiko langu kwa Ofisi ya Maendeleo ya Jamii Mvomero na Mkurugenzi Mtendaji kwani hadi sasa hatujapata mrejesho wa maombi ya...
DAWASA imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau aliyelalamikia changamoto ya Huduma ya Maji Kibaha,
kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ DAWASA Kibaha nini tatizo? Hakuna Huduma ya Maji wiki ya pili...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo...
Nikipita sokoni naiona inauzwa najuaga labda matumizi yake ni kutengeneza tu unga wa lishe. Gunia lake linauzwa 200000-350000. Sijawahi kuona nyumbani kwetu wameinunua ngano hiyo.