Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,845
Nimeishi vijijini na maporini kwa muda, niliyoyaona yanastaajabisha!
Watu hawazingatii usafi, wanakula matunda bila kuosha, wanakunywa maziwa hata yasiyochemshwa wala hawadhuriki kamwe!
Maji machafu yaliyotuama yenye wadudu wanaoonekana live kabisa ila hutosikia akilalamika tumbo! Na hawa watu miongoni mwao hawajawahi kukanyaga hospitalini!
Mjini ukijisahau kidogo tu kipindu pindu, malaria, Amiba, UTI, si vitu vya kuuliza!
je wale watu wana kinga ya hali ya juu kuliko wengine au nini kinatotofautisha?