Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ni kweli Yesu alifufu mtu, basi bila shaka teknolojia hiyo ipo.., otherwise yeye aliwezaje? Je, ni kweli teknolojia hiyo haitokuja kugundulika hadi mwisho wa dunia?
3 Reactions
14 Replies
559 Views
Habari wanajamvi, Nchi yetu kwa upande wa bidhaa za viwandani inaitegemea china kwa 85% kwa sababu mchina anazalisha bidhaa za bei nafuu. Tungekuwa tunategemea nchi za magharibi kutuuzi bidhaa...
3 Reactions
16 Replies
673 Views
Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada namna ya kufuta leseni ya ukandarasi wa uneme isiwepo kabisa. Ni leseni ndogo ya fundi wa kawaida wa wiring.
1 Reactions
4 Replies
441 Views
Ndugu kuelekea kuanza mwaka 2025 Unapopanga mafanikio yatakavoendelea mwaka 2025 Naomba tufanye kazi kwa pamoja Mimi nitakufanyia kazi yako kwa uaminifu 1. Kwa anaehtji kufanya biashra ya...
1 Reactions
10 Replies
645 Views
Hawa jamaa Makachu divers wamejizolea sifa nyingi zanziber lakini ghafla serikali ya zanziber imesitisha huu mchezo. Ila nasikia wamehamia coco beach. Kabla ya kuruhusu huu mchezo ni bora...
6 Reactions
62 Replies
4K Views
Kichwa cha habari chahusika Dagaa, nyanya chungu nyingii, ugali wa Dona na maji chupa kubwa! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Sabato njema
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Katika kitu ambacho nawashauri vijana wenzangu tafuteni hela shabikieni mpira ila msishiriki mambo ya siasa sababu africa siasa ni Kwa vijana wajinga tu ambao watapoteza mda wao kumsikiliza...
7 Reactions
79 Replies
2K Views
Serikali imezuia matumizi ya Ramani za google kufundishalia wanafunzi kuhusu mipaka ya Nchi hususani mpaka wa Tanznaia na Malawi. Kwa kutumia google,mpaka wa Tanznaia na Malawi uko pembezoni mwa...
8 Reactions
60 Replies
3K Views
Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni...
1 Reactions
0 Replies
408 Views
Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji ya Editha Andason, mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, uliopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, aliyeuawa kwa kunyongwa kwa mtandio...
1 Reactions
3 Replies
715 Views
Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate...
1 Reactions
4 Replies
493 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV. Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia. Pia kama ulikuwa...
13 Reactions
150 Replies
7K Views
Kuna ubaguzi mkubwa kwenye taasisi ya vyuo vya mifugo LITA kwa watumishi kupata stahiki kulingana na mtumishi kuwa karibu na mwenye kitengo. Changamoto imezalisha chuki kwa watumishi pia hawana...
0 Reactions
1 Replies
434 Views
Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna kanisa lipo Njiro Arusha fungulia redio yao usikilize makelele ya huyo mhubiri. Huo ni ukristo au ulevi????
5 Reactions
11 Replies
980 Views
Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu. Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu. Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi...
8 Reactions
70 Replies
3K Views
Nimeona Rais Samia kamtumbua kiongozi wa juu wa Mwendokasi labda kero zitapungua kwa kweli. Ukiachana na kero ya msongamano wa abiria na utaratibu mbovu ambao kila siku hata Jamii Forums naona...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Watu wanawaleta wagonjwa wa akili makanisani harafu wanasema Wana mapepo. Matokeo yake ndio hayo na Pastor Kwa kutojielewa na kutaka aonekane anakubalika Kwa watu wake akapotezea kwenda Hospitali...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Inakuwaje wanajamvi. Vijana wa Dar acheni kulia lia njaa wakati wote wakati kuna bahari karibu yenu. Nendeni mkajishughulishe na shughuli za uvuvi kuliko kushinda vibarazani mkipiga umbea na...
7 Reactions
12 Replies
664 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…