Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dar es Salaam, 01 Januari, 2025: Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha...
1 Reactions
4 Replies
579 Views
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria (OPEN University -OUT) ambao tunatarajia kuhitimu Shahada Mwaka huu na tayari Chuo kimepanga mahafali yafanyike Mkoani Kigoma tarehe 5 Disemba 2024...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Matatizo ya ajali barabarani tunaweza kuyaondoa haraka endapo mamlaka za serikali zitachukua hatua leo. kama hatutabadili namna ya kufikiri itatuchukua miaka mingi sana kupunguza matatizo ya...
1 Reactions
11 Replies
698 Views
Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba. Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi ...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Majira ya saa 10 jioni ya tarehe 09.12.2024 nimepokea ujumbe huu 1 na 2 (chini) kutoka mtandao wa Halotel Tanzania 🇹🇿 kuwa nimejiunga na huduma ya #AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi...
1 Reactions
6 Replies
542 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega (Mb) ametangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa upanuzi wa barabara kutoka Rangi Tatu hadi Mkuranga, baada ya kupata kibali kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassan...
5 Reactions
13 Replies
772 Views
Inakata sana unakutana na Mwanamke mzuri unamfeel unajaribu kumuapproach bahati mbaya bibie anakaza kwa sababu ya status uliyonayo anashow disrespect sababu tu huna kitu. Kuna member humu...
6 Reactions
9 Replies
605 Views
Hivi hii klabu ya ac Milan inamashabiki kweli wakuu maana watu wanaiita klabu kubwa wakati hata mashabiki Haina aisee wazee mnatabu sana timu hata mashabiki watano hawafiki MNASEMA ni klabu kubwa...
4 Reactions
129 Replies
4K Views
Milevi bana.. Inaanza kuona shule za kulipia ni overrated...
2 Reactions
3 Replies
424 Views
Huu mwaka siyo wetu...ni Mwaka wa Kikafir kabisa. Si kama kwenye Kalenda yetu. Nashangaa naona watu wanatakiana heri na fanaka.
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Hizo nywele za katikati ya miguu, zina balaa na mikosi kibao. Na ndiyo maana saloon zote duniani hazikubali kutoa huduma ya kuzinyoa hizo nywele. Imekula kwako kama umeingia na nywele hizo mwaka...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina...
1 Reactions
1 Replies
348 Views
Ukisoma Kurani inaonyesha kuna ma Alllah wengi ndio waliomtuma Mohamed Ushahidi huu hapa Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye shahidi juu yenu, kama tulivyo mtuma (73:15)
1 Reactions
8 Replies
401 Views
Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa...
1 Reactions
3 Replies
429 Views
Kutoka kwenye kitabu "Rich DAD Poor DAD" cha Robert Kiyosaki 1. Usifanye kazi kwaajili ya kutengeneza pesa (Don’t work for money): Watu matajiri huwa hawafanyii kazi pesa. Kama unaifanyia pesa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukiona sehemu imeandikwa HAKUNA NJIA HAPA. Ujue ni waongo hao walioandika. Njia ipo ila hawataki upite. Kama hakuna njia hamna sababu ya kuandika. Itaonekana tu kuwa hakuna njia. Why paandikwe...
6 Reactions
17 Replies
709 Views
Mungu AWABARIKI SANA SANA wote mlio hai MUNGU axidi kuwainua na kuwapa furaha maishani mwenu Wale members waliotangulia MBELE za Mungu MUNGU akawape pumziko la milele Mkawe na amani na furaha...
2 Reactions
5 Replies
315 Views
Japo watu weusi tuna matatizo mengi sana na ye kipekee tofauti na races lakini sio jambo jema kujidharau kama watu weusi, sio vyema kudharau hali yetu kutokana na weusi tu, sio sawa kujiona duni...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Nimeona sehemu nyingi ukimjibu mtu basi juu kwenye msg yake anaandikwa mfano Komeo la chuma Said. Nikawa najiuliza kwa nini JF mliona jina la Said ndo liwe Surname ya members wote? Kwa nini basi...
3 Reactions
12 Replies
715 Views
Anonymous
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry...
7 Reactions
18 Replies
936 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…