Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Ni tikuo kubwa sana ambalo huwa nalikumbuka had leo, nikikumbuka huwa nabaki na maswali mengi sana
Vp kama...
Leo nipo zangu kwenye daladala na kavocha kangu ka 500 nimeshakwangua tayari kwa kuingiza.
Wakati naingiza nilikuwa nahangaika maana kioo changu hakitachi vizuri. Jamaa wa jirani akawa anainakili...
Wdau hamjamboni nyote?
Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi
"As God has shown me in holy vision...
Wanakijiji 10 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni wamefariki dunia kwa kugongwa na lori lililopoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani kutoa msaada...
Na kinachowatofautisha ni mafunzo tu.
Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu...
Sewa Haji, soma historia ya mtu aliyetukuka. Ndie aliyetajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie aliyeijenga kabla ya...
Naam huu ndio mwaka wa hekaheka, waswahili husema mtoto hatumwi dukani.
Kama ulikuwa unasikia "tukutane 2025" basi mwaka wenyewe ndio huu.
Kuna mtu aliwahi kusema "mwaka wa kula hela za wajinga"...
Nimeona ITV kuna zoezi linaendelea kwa kukagua daladala kila mji.
Niwajuze tu kama mtakagua daladala za Dar es salaam yaani zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke.
Nashauri zoezi liishie tu...
Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
OA , KUWA...
Ikitokea tukapewa nafasi Nyingine, Prof . Janabi anafaa kuwa Mbadala katika nafasi ya Faustine Ndungulile DG-WHO-africa
Tanzania bado tuna akiba ya watu muhimu na wenye taaluma zao wanaojua nini...
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024.
Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya...
Salaam wadau. haya ndio makubaliano yanayotegemewa kufikiwa kati ya Israel na Hamas hivi punde
⚠️ AWAMU YA 1 (SIKU 42):
1. Kusimamishwa kwa Muda kwa Uhasama:
- Kusitishwa kwa muda kwa...
Usiku wa kuamkia Leo, muda ya saa Saba usiku, nikiwa na mwanangu wa chuo kikuu cha UDSM, mke wangu, Binti wangu wa sekondari na mtoto wa kaka yangu tulikiwa tunatoka hotelini, tunalisogelea gari...
Kumekuwa na tabia ya Daladala nyingi zinazofanya safari za Kilombero - Kiseriani kuwa na tabia ya kukatisha ruti kuanzia majira ya Saa 1 Usiku na kusababisha abiria kupata adha ya usafiri wakati...
Zitumike mbinu za kidiplomasia, ikishindikana kwa ustaarabu basi liundwe zengwe na vikwapuliwe kwa nguvu, maana wanasema umoja ni nguvu, ni kama Zanzibar tu ikivyonyakuliwa. Nasema hivi maana kuna...
Hakuna ulazima wa yeye kuongea kesho. She must wait until she is fully recovered from the shock.
She should wait for the right time. She is in a foreign country.
Kwa hiyo asiihusishe nchi jirani...
Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli...
Aise mimi naishi Marekani lakini nina ndugu wengi wanaoishi Tanzania. Na karibu ndugu zangu wote ni waumini wa hizo dini tulizo letewa na waarabu na wazungu ili kutupumbaza. Sasa cha kushagaza...
Takwimu zinasema chini ya asilimia 0.2 ya ya watu wenye umri chini ya 50yrs hufa wanapougua Corona, lakini cha kushangaza watu wanachanganyikiwa as if ukiupata unakufa papo hapo, mortality rate...
Wakuu huu ni ushuhuda.
Mwaka 2020 nilianza kuishi na Baba mzazi baada ya kuumia kupata Ajali .
Niliamua kubeba hilo jukumu 100% japo ndugu zangu walikuwa wanaruka ruka.
Ila asikuambie mtu...