“Natoa wiki moja kuanzia tarehe 13 Januari 2025 Wazazi na walezi hakikisheni wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo katika Wilaya ya Mufindi wanaenda Shuleni, tarehe 20Januari, siku ya...
Yesu alisema ukifunga jiweke uso wako vizuri kwa mafuta ili mtu asijue unafunga. Ni dhahiri kwa mafundisho yake funga ya mkristo ni suala binafsi na ni siri ya anayefunga.
Vipi leo haya maredio...
Hii ni true story ya mpangaji wa bibi yangu pale ilala kota,naandika uzi huu kama hamasa kwa wapambanaji wote kwamba ukiweka malengo na kuishi nayo hakika utafika pale unapotaka kufika
Mpangaji...
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.
Taarifa za...
Mwenzie mmja wa Ghana , BBC iliripoti kwamba Kwa umri wa miaka 15 tayari ni mrefu kushinda vipimo vyote na anazidi kuendelea kukua ambapo Utafiti ulionesha bila.kufa yiwa vipimo anaweza kuwa kama...
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine...
Waungwana kuna mambo maishani huwa yanapotazamwa humuachia mtazamaji kila aina ya tafakuri kichwani mwake. Ndani ya miaka kadhaa ya hivi karibuni, kumezuka tabia ya watu kuitundika bendera ya...
Sote tunatambua kuwa EWURA wamezuia mafuta ya petrol na Diesel kuuzwa kwenye madumu. Swali langu kwa wale watu ambao wana mashine zinazojienndesha kwa kutumia hiyo nishati watafanyaje?
Kwa mfano...
Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa.
Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia?
Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya...
Mimi nikijana nimepanga geto sasa hapa hii nyumba ina vyumba vitatu tuu kimoja na kama mm bachela kingine anakaa mwenye nyumba na mke wake kilichobaki anakaaa jamaaa pia mpangaji kaoa sasa
Ishu...
Mstari unaotenganisha Rap na uhuni ni mwembamba sana.
Mimi ni mmoja wa watu wanaopenda zaidi rap kuliko aina yeyote ya mziki. Ili roho yangu isuuzike kusikiliza mziki basi inabidi iwe rap. Zamani...
Niliwahi kumuuliza tajiri mmoja ambae najua hela zake sio za kukwepa kodi kwamba "Kwa nini unajihusisha kutoa sana misaada wakati wewe ni tofauti na wengine sababu wengine hutumia hio njia...
Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sana na sijawahi kupata jibu.
Inakuwaje unaenda dukani unakuta muuzaji anauza mchele au karanga ambazo hazijachambuliwa?
Inafikirisha sana karne hii na...
Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia...
Wakuu,
Hawa waajiriwa wapya wa maweni wote hawajalipwa hela za kujikimu. Na ukiangalia intake yako hospitali zingine zote wamelipwa.
Ndo kusema ukiwa Kigoma kila kitu kigumu hadi stahiki muhimu...
Kueleka mwaka 2050 serikali ya Tanzania imehimizwa kuweka lengo la kuhakikisha kuwa kunakuwa na muongozo sahihi wa matumizi na ulinzi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) ili kuhakikisha kuwa...
Kufuatia kufunguliwa kwa shule, waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu amekemea vikali tabia ya BAADHI ya Wazazi na BAADHI ya Walimu kupiga watoto kupita kiasi BILA...
Kwema Wakuu?
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Tanzania ni nchi ambayo inaingiza au kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje. Bidhaa hizi zinaweza kua za mahitaji au matumizi binafsi, bidhaa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.