Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la Polisi Tanzania, liliagizwa na Makamu wa Rais Hon Philip Mpango kuhakikisha wanavaa kamera ambazo zitaonyesha vitendo vyao vyote wawapo barabarani, hapa namaanisha Traffick mnamo...
3 Reactions
11 Replies
853 Views
husika na maada tajwa hapo juu, Tunaomba wahusika waendelee kuchakata namna nyingine yakisasa zaidi ya ving'amuzi, kama inawezekana hata majumbani tutumie mfano wa vile vung'amuzi vya kwenye...
0 Reactions
4 Replies
456 Views
Hakuna mtu asiyependa kufanikiwa kikazi, kielimu, kibiashara, kiafya, katika ndoa nk. Mwaka unapoanza watu wengi huwa wanajiwekea mipango na mikakati ili wapate mafanikio. Hapa nakuorodheshea...
32 Reactions
87 Replies
5K Views
Wakuu kwa jicho la kibiashara jina la Lissu ni brand inayoweza kuuza kwa hapa bongo. Unadhani ni bidhaa gani inaweza ku-fit hilo jina na kufanya vyema sokoni? Binafsi nimefikiria pombe kali na...
2 Reactions
5 Replies
359 Views
Anonymous
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN. Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Vijiti VYA kuwashia moto vinauwezo wa kukufanya ukaacha kuvuta sigara na kunywa pombe
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Huku kwetu Mtaa wa Chenga pamoja na maeneo ya jirani ya Kata Nyegezi tumekuwa tukilalamikia changamoto ya barabara ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ambayo inasababisha usumbufu mkubwa kwetu ambao...
1 Reactions
6 Replies
643 Views
Wanasheria tusaidieni kujua kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (DED) ana amri Kisheria ya Kuwaweka Watu Ndani masaa 24. Hata hivyo Kwa uzoefu wa Vijijini tulikokulima Watendaji Huwa...
1 Reactions
5 Replies
436 Views
Happy new year 2025 wadau wote wa JF. Kama mlivyosikia, sherehe za kupokea mwaka mpya kitaifa zimefanyika Arusha. Wakati dar Mwamposa akivukisha watu na chao, na kule Mwanza wakiomba kutoka...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kanda ya Tabora kimefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kukiuka haki ya kikatiba dhidi ya Mohamed Thabiti Nombo, mkazi wa mkoa wa Tabora. Kesi hiyo, yenye...
0 Reactions
1 Replies
446 Views
Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ibara ya 100 inaelekeza upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kufikia asilimia 95 mjini. Utekelezaji wake ni kwamba Upatikanaji wa maji mijini umefikia...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Kazi imemuonya Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe kwa kutofika Mahakamani tangu shauri la madai ya malimbikizo ya mishahara ya Waandishi wa Habari 10...
2 Reactions
8 Replies
792 Views
Mtu mmoja (jina limehifadhiwa) anadaiwa kufoji nyaraka na kujifanya mwakilishi wa mmoja wa Wakuu wa Wilaya waliowahi kuongoza Wilaya ya Kisarawe, akidai kuuza viwanja kwa niaba ya mkuu huyo wa...
1 Reactions
0 Replies
413 Views
Safari ya uongozi kwa Wanawake kamwe haijawahi kuwa nyepesi, Mwanamke anapita katika njia mbovu, milima na mabonde pia kona hatarishi. Licha ya ugumu huo, wengi wanapambana na mengi hadi...
0 Reactions
0 Replies
479 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Mwekezaji wa Shamba la Malonje lililopo katika Kijiji cha Sikaungu Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutoendeleza...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa...
7 Reactions
109 Replies
8K Views
Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue? Pale...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
0 Reactions
2 Replies
291 Views
Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp. 1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA...
1 Reactions
5 Replies
736 Views
Back
Top Bottom