Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini...
1 Reactions
10 Replies
606 Views
Ni kifaa Cha matumizi ofisini kwangu kina thamani ya 200,000 tu
3 Reactions
6 Replies
435 Views
Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli. Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake...
2 Reactions
0 Replies
253 Views
Nimezaliwa miaka ya 90 mwanzoni, jijini Dar es salaam katika kata ya Sinza. Baba alifariki kipindi nina mwaka mmoja hata sura yake siikumbuki nimeziona picha zake tu na mama alifariki wakati nipo...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii barabara sasa hivi ujenzi wake umekuwa kero maana hatuwezi kwenda kwenye majumba yetu, kumezibwa kote sehemu zote za kuingia
2 Reactions
5 Replies
320 Views
Dunia imekwisha. Vijana hawafanyi chochote zaidi ya kushinda kubet Jijini Dar es salaam ndio kazi anakula analiwa jioni anarejea na unga na dagaa
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama. Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa...
0 Reactions
2 Replies
389 Views
Mama mzazi wa nabii mkuu Geordavie akitoa ushuuda kanisani kwa mwanae alisema; "Mwanangu sio mtu wa kawaida, nakumbuka kipindi akiwa mtoto aliwai kupiga kelele huku macho yake akiwa ameelekeza...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Picha linaanza una familia ya watoto wanne na kuendelea 👉Umepanga chumba na sebule 70k-100k kwa mwezi 👉Usafiri wa kazini 3000 Kila siku 👉Chakula 200k (angalau ili upate mlo standard) kwa mwezi...
7 Reactions
11 Replies
804 Views
Wewe kama una sherehe yako peleka kijijini kwenu huko siyo unazuia barabara kwa kuweka miturubai kisa una sherehe si ungenunua eneo kubwa ili ujitosheleze hii tabia imekithiri kwenye hili jiji la...
4 Reactions
20 Replies
878 Views
Quokkas (Setonix brachyurus) ni wanyama wadogo wenye mifuko ya kuzalisha (marsupial), wanaopatikana kusini-magharibi mwa Australia, na wanajulikana kwa sura yao ya kirafiki na "kutabasamu" kila...
2 Reactions
3 Replies
535 Views
Nimekutana na video moja kwenye mtandao wa Facebook, inaonesha watoto bila shaka ni watoto wa chekechea kwa hakika sidhani kama hii imekaa sawa. Ni jambo zuri watoto kupata muda wa kufurahi na...
10 Reactions
65 Replies
2K Views
Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list kabisa. Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio 😅🤣😂
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Ni historia inayojirudia ambapo mkoloni ni kama ameona njia ya kuwapumbaza Waafrika na kuwatawala kiurahisi ni kuwataka wapigane wenyewe, waonane wabaya wao kwa wao. Nchi ya DRC inakadiriwa kuwa...
1 Reactions
6 Replies
680 Views
Heshima kwenu brothers and sisters, Nimeona sio mbaya niki share na watanzania wenzangu experience niliyokutana nayo katika harakati zangu za kutaka mama yangu apone ili wengine ambao wanapanga...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Moja kwa moja kwenye mada, Hospital maarufu ya Tiba za kibingwa kwenye Moyo na kansa ya Apollo ya India inatarajia kujenga hospital Kubwa ya Tiba hapa Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge Walimu nao wamegoma Na mgomo haukutangazwa hadharani Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni...
3 Reactions
12 Replies
765 Views
1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku. 2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no...
15 Reactions
62 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…