Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SAFARI YANGU KWENYE BETTING! Betting mwanzo niliiona kama issue ya kihuni sana. Na nilishangaa kumwona mtu niliyemweshimu sana anabeti. Ukweli nilimshusha thamani siku hiyo. na nilimwambia pale...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kutoka kwenye mchoro hapa chini Kwanini huyo jamaa anaonekana kutumia nguvu nyingi kwenye "a" kuliko "b" na "c" Kwanini kwenye "b" anatumia nguvu kidogo kuliko "a" wakati kuna hizo disc mbili...
3 Reactions
14 Replies
536 Views
Hapa Kibaya wilayani Kiteto kuna trafiki anakamata sana pikipiki na hataki kutoa Control No, akidai kashalipia wewe mpe hela taslimu(Cash money) tu. Haya si mazingira ya rushwa kabisa na akijidai...
1 Reactions
3 Replies
313 Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi VICTORIA MWANZIVA amezindua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa halmashauri ya Mtama ikiwa ni fedha za...
1 Reactions
0 Replies
340 Views
KWA MUJIBU WA WANASAIKILOJIA, KUNA AINA NNE ZA AKILI 1) Intelligence Quotient (IQ) 2) Emotional Quotient (EQ) 3) Social Quotient (SQ) 4) Adversity Quotient (AQ) 1. Intelligence Quotient (IQ)...
5 Reactions
6 Replies
582 Views
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya Ujinga sio umaskini Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma Mtaa lazima umpitishe Kila mtu...
25 Reactions
92 Replies
3K Views
Poleni watanzania wenzangu kwa kifo cha Mpendwa wetu Hayati JPM, Apumzike kwa Amani. Hakika kifo chake kimemgusa kila mtu, watu wote wa rika zote. sijawahi kuona kiongozi analiliwa kama huyu...
14 Reactions
103 Replies
10K Views
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump ( Executive Orders) kuzuia fedha zote za misaada zilizokuwa zinatolewa na serikali ya Marekani kupitia baadhi ya taasisi zake ikiwemo taasisi ya...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Ndio maana hapo zamani watu walihitaji kuishia form 4 unaenda kupiga mzigo, vigezo vya elimu kubwa vinazdi kadri miaka inavyoenda lakini kazi nyingi zinahitaji training miezi 6 tu. Mwanafunzi wa...
8 Reactions
11 Replies
823 Views
Uongozi ni kipawa na si elimu, Jenista ana kipawa cha ajabu haijawahi kutokea hivyo anatoshea kwenye nafasi hiyo.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu...
29 Reactions
62 Replies
3K Views
Wana board, Heshima kwenu! wakati taifa likiwa kwenye msiba mkubwa, nami naungana na ndugu na jamaa katika majonzi na masikitiko ya kuondokewa na vijana wetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema...
4 Reactions
84 Replies
9K Views
Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata...
163 Reactions
625 Replies
25K Views
Habari wana bodi. Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda. Pia kinaeleza kua wazazi wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakala wa Usajili makampuni BRELA ni wakala wa serikali ambapo watu wanaofungua makampuni , majina ya biashara na alama ya Biashara ndio wahusika wakuu. BRELA imehamia mirambo/ BOT na IFM kutoka...
0 Reactions
6 Replies
631 Views
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa chuo cha Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamin Sedoyeka kwa tuhuma...
10 Reactions
32 Replies
4K Views
Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17...
7 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wakuu. Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo. Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia...
9 Reactions
35 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba tujadili hili.
0 Reactions
9 Replies
438 Views
Kwema wakuu? Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu. Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu? Kwa maana nyingine naulizia duka...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
Back
Top Bottom