Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua...
Huyu binti mrembo, mdogo mwenye umri wa miaka 27 msemaji wa Ikulu ya Marekani amekuwa gumzo mtandaoni kwa uwezo wake wa kujibu maswali na kujiamini.
Binti anapigwa maswali ya papo hapo na...
Nadhani ni jambo lisilopingika na la wazi kitamaduni na kiuhalisia pia sidhani kuna kutoelewa umuhimu wenu kwenye majukumu mliopaswa kuyatumikia na kuyafanya kila siku cha ajabu zaidi elimu ya...
Habari ndugu zangu wana jukwaa wenzangu.
Hili Jiji la Mbeya licha ya kukumbwa na ugonjwa wa Kipindupindu ambao kila siku tunasikia Serikali inapambana nao lakini hali ya uchafu katika baadhi ya...
|Haya ndio mambo sita makubwa yanayomvutia zaidi Kachero Benard Membe kwa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan,
Kwanza, Mabadiliko, ni raha ya Watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi wa...
Habari zenu Wanajamiiforums.
Nakazia kichwa cha MADA, Kama kweli kuna pepo basi niwahakikishie hakuna binadamu hata mmoja atakayekanyaga.
Wale wote wanaojazana kanisani sijaona,
Wale wa...
Wakuu heshima yenu
Nataka kumkatia mke wangu bima ya NHIF,naomba anaejua utaratibu na gharama zake anijuze,hasa hizi ambazo wanasema ni reviewed
Nafanya hivyo kwa sababu ni mjamzito,lakini pia...
Chanzo: Wavuti ya Gazeti JAMHURI
Misaada mingine ya Marekani ni fedheha
Na Manyerere Jackton
Wiki iliyopita Rais Jakaya Kikwete alizungumza neno zuri. Sina hakika kama viongozi wetu...
Rais wa Marekani Barrack Obama amemwonya rais wa Uganda,Yoweri Musuveni, kwamba ikiwa atasaini mswada wa sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja basi uhusiano kati ya Uganda na Marekani...
Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump.
Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77...
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa, ulio katika Kata ya Nduli, Mkoani Iringa, umefikia asilimia 93 ya ukamilifu na umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 68. Kwa sasa, uwanja huo uko tayari kwa...
Jamani nimetafakari sana,nimeona kama baadhi ya vituo vingine vya mwendo kasi walivijenga vikubwa sana bila sababu yoyote.
Mfano hivi vya katikati,Magomeni hospitali,Jangwani,Manyanya...
Ninaongea nikiwa na evidence.
Kuna familia ilipata mtoto wa pili. Mtoto alivyozaliwa alipewa jina fulani. Lakini makuzi ya mtoto huyo hayakuwa marahisi, alikuwa analia sana, kula kwa shida, ana...
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma.
Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila...
Kuna jamaa yangu yuko Zanzibar anataka kuniuzia gari. Na gari nikiangalia iko vizuri tu. Xtrail ya 2005 ananipa kwa mil 6. Ila sasa nasikia kuleta gari Bara toka Zanzibar unalipia tena ushuru. Je...
Wandugu,
Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache.
Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa?
Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto...
Juzi Bi. mkubwa wangu kanitembelea nyumbani, sasa yeye ni mmoja wa waumini wa kwa Mwamposa.
Baada ya salamu za hapa na pale akaomba awekewe channel ya Mwamposa aangalie ibada.
Wakati tukiangalia...
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.