Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wanaJamiiForums, Mimi ni mdau wa kupenda maendeleo na ustawi wa wengine pia.Kuna hili swala la ajira za Walimu mtindo wanaotumia kupata walimu wa kuajiriwa ni mzuri ila una mkwamo mkubwa...
2 Reactions
11 Replies
661 Views
Wastaafu Kufuata Huduma ya NHIF Dodoma Sasa Limekwisha "Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita Aliandika Barua Kwenda Wizara Ya Afya Kuomba Wazee "Wanatakiwa Wasije Hapa Dodoma Ama...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Wakuu, Madereva wa Magari yanayofanya safari za Nachingwea, Ruangwa, Liwale, Mtwara na Masasi kutokea Stendi kuu ya Mabasi Mkoani Lindi wamegoma hii leo januari 8, 2025 kwa kile walichokieleza...
1 Reactions
2 Replies
753 Views
Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mhe Victoria Mwanziva amefanya ziara maalum ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maji- Wilaya ya Lindi na kubainisha mafanikio na megauzi makubwa Sekta ya Maji ikiwa ni kazi...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
WAKALA wa maji na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,umeanza kutekeleza program ya uchimbaji visima 900/5 kwa kila Jimbo ambapo Wilaya hiyo yenye majimbo mawili ya...
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Habari wadau, sina mengi ndugu zangu naomba kujua wapi nitapata soko la madini aina ya ulanga mweusi na kyanite, msaada wa upatikanaji wa soko. Natanguliza shukran
1 Reactions
2 Replies
447 Views
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shilingi milioni 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa maktaba...
2 Reactions
1 Replies
413 Views
Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
1 Reactions
1 Replies
369 Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa wale mnaopanga kwenda kuzamia Marekani na nchi nyingine, Nitoe shukrani zangu kwa Mwana wa Mungu Trump, aliyeletwa kufungua macho ya watu. Naomba niwajuze, mkiwa mnapambana huko Mungu...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Na Nusra Shaaban Walimu wapya walioajiriwa katika Wilaya ya Mjini wametakiwa kuzingatia maadili ya taaluma, kuwa wavumilivu, na kuwa na moyo wa kujituma ili kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu...
1 Reactions
3 Replies
379 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na...
1 Reactions
4 Replies
487 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia...
1 Reactions
3 Replies
415 Views
Treni iliyotarajiwa kuondoka kutoka Dar es Salaam kwenda Kapiri Mposhi, Zambia, kwa saa 9:50 jioni, bado haijaanza safari hadi saa 2 usiku, huku sababu ya kuchelewa kwao ikiwa bado haijatolewa...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Ijumaa Kareem Unaweza kuwa karibu na watu wenye kila aina ya fursa ,mawazo chanya, kujitoa , Ila wasifanikiwe kukupa hayo mawazo chanya, wala kujitoa kwako wala kukupa fursa. Kuna wakati Mungu...
11 Reactions
24 Replies
1K Views
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika. Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila...
13 Reactions
89 Replies
5K Views
Salaam Imekuwa kero, shida, usumbufu na tabu kwa abiria wanaotegemea usafiri huu katika vituo vya kati vilivyopo katika njia kuu za mabasi ya mwendokasi. Mfano njia ya kimara kuelekea gerezani...
1 Reactions
7 Replies
971 Views
Ufunuo wa Yohana 22:10-21 10 Akaniambia, Usiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia. 11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa...
5 Reactions
4 Replies
540 Views
Nataka kuuliza serikali ina mpango Gani kuhusiana na watoto wa mtaani jijini mwanza. Maana wanasumbua kweli katika maeneo ya Seketoure na Nata Je, hao watoto hawana wazazi. Na kama hawana wazazi...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Back
Top Bottom