Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Niliachana na Elon Musk baada ya yeye kuyumba sana kiuchumi lakini Kwa Sasa ninajutia kitendo changu cha kumuacha na sasa nataka kurudiana naye, sio kwa sababu ya Pesa zake nyingi Wala siyo kwa...
22 Reactions
115 Replies
5K Views
Habari. Kuna kero moja Manispaa ya Singida, kumekuwa na tabia ya uchelewaji wa kuchukua taka katika baadhi ya maeneo hasa Ginery. Wananchi wanatoa taka nje siku ya kubeba hawaji kuchukua. Hii ni...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Wale wenye d2 wataelewa uzi hii nakaribisha mjadala. Rangi iliyo chini ya dawa ya meno haimaanishi chochote kuhusu namna ya uzalishaji.
2 Reactions
14 Replies
501 Views
Wana jamvi uzima na afya uwe kwenu nyote. Hapa siongei na wavulana na vijana wa hovyo. Bali naongea na vijana na watu wazima wenye kujitambua haswa. Ni ukweli pasina shaka kuwa maisha ya ujana...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Bado sijajua siri iliyojificha kwenye chumvi na mkaa. Wengi hutumia kama kinga dhidi ya uchawi na ushirikina. Wengine huweka kitandani au nani ya unga na mchele ili kuzuia chuma ulete. Matumizi...
4 Reactions
47 Replies
30K Views
MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama...
3 Reactions
5 Replies
814 Views
Anonymous
Wahudumu wa uzazi katika hospitali ya wilaya ya Mbozi, kliniki ya uzazi wanatoa lugha ya matusi sana, udhalilishaji kwa wanawake, mfano mwanamke asipokuja na dela hutukanwa, hufukuzwa mpaka aje na...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama...
3 Reactions
3 Replies
929 Views
Addiction ni tatizo lingine kabisa, unafanya kitu flani kinakupa raha, ukiendekeza sana kinakukamata akili na nafsi, Kusema kuutibu mwili kwa kumeza vidonge, mizizi, kuogea dawa, kufukizwa, n.k...
2 Reactions
7 Replies
977 Views
Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
7 Reactions
19 Replies
469 Views
Habari zenu ndg jamaa, naomba kuuliza kama Kuna mwenye kujua, nilikua najishughulisha na biashara ya kubeba mkaa hapa mkoan Dodoma katika mihangaiko yangu mwaka Jana mwezi wa na Nne tulikamatwa na...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Kasi ya wazazi kuwatoa watoto Wao shule za EMs kuwarejesha Kayumba inazidi kuongezeka kila siku. Huko mtaani ni balaa mamia Kwa maelfu ya wazazi wanawatoa watoto Wao shule za EMs na kuwarudisha...
1 Reactions
9 Replies
651 Views
Sisi wananchi wa Mkoa wa Mwanza tunakupongeza sana kwa uchapaji wako wa kazi katika Mkoa wetu. Tangu ulipohamishiwa katika Mkoa wetu matukio mengi ya kihalifu yamepungua sana. Katika funga kazi...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa tamaduni, historia, na utofauti wa makabila. Ni sehemu ambapo lugha, rangi za ngozi, na muonekano wa watu hutofautiana kulingana na maeneo na historia zao...
1 Reactions
0 Replies
632 Views
Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Nyie mademu wa jogging mtakuja mtuuwe jamani Mnavaa vinguo vya kututega Sisi wanaume marijali tulishiriki jogging na marathon zenu, tutatoka tumemaliza kila kitu Tusiige wazungu Mwanamke wa...
21 Reactions
103 Replies
3K Views
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhidhwa na ujenzi wa mradi wa maktaba ya Chuo cha Ardhi Tabora (ARITA) ambao umefikia asilimia 99 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi...
2 Reactions
1 Replies
360 Views
Sisi Wakazi wa Kahama kiukweli tunayo kero ya barabara kutokuwa na ubora mzuri hali ambayo imekuwa ikitupa shida kwenye kutekeleza majukumu yetu. Barabara za mjini takribani kote ni changamoto...
1 Reactions
3 Replies
852 Views
Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali...
1 Reactions
1 Replies
501 Views
Back
Top Bottom