Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama...
2 Reactions
66 Replies
11K Views
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu. Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni...
13 Reactions
123 Replies
15K Views
Wakati mwingine wanakuchukia kwasababu unavyopendwa na unakuubalika kwa watu au na mtu fulani hapo kazini/ofisini au ulipo Yawezekana kwasababu ya connection hizo ulizonazo na namna unavyoitwa...
5 Reactions
11 Replies
501 Views
Kuna wimbo unaitwa olodumare wa Joel Lwaga umekuwa maarufu kanisani watu wakitaja olodumare bila kujua maana yake nini. Katika nyakati hizi za hatari,nyimbo nyingi za hawa watu walioungwa na...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k kwa mara nyingi masomo ya...
1 Reactions
19 Replies
738 Views
"Watekaji wawili walikuwa wanajihami kwa mapanga lakini askari polisi zaidi ya 20 walishindwa kuwadhibiti wahalifu hao wawili wenye mapanga na kulazimika kuwapiga risasi. Yani askari zaidi ya 20...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni, wateja wamekuwa wakijiunga na kifurushi cha GB 10 cha mwezi mzima, lakini ndani ya siku tatu tu, bando limekwisha, huku matumizi halisi ya data yakionyesha kiwango...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Nasumbuliwa sana na wasiwasi wa maisha, mwanzoni nilikuwa naona kawaida ila kwa hali yangu ya sasa naona it's too much. Ngoja niwaelezee kidogo jinsi ilivyo, mfano nikitoka kazini nikirudi home...
10 Reactions
95 Replies
4K Views
Kuna jamaa mmoja mtaani tukajenga mazoea! Mara hayo mazoea kayapeleka kwa mtoto wangu kiasi cha kumuachia kitu cha thamani ya kwamba atakipitia. Huyo mtoto kakiacha sehemu si salama kikaibiwa...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Hawawezi kuamua siku zote. Wao hujificha madhaifu yao na aibu zao kwenye diplomatic Kituko kweli,yaani ukae mfanye mazungumzo na mwanao(M23) wa kuasili anaetaka kukuua wakishirikiana na baba yake...
4 Reactions
10 Replies
661 Views
Nilipokua mdogo nilisema nikiwa mkubwa nitapata pesa, nitakua nawasaidia masikini, ila mpaka sasa hivi najiona Mimi ndio maskini mwenyewe ninayepaswa kusaidiwa kabisaa, sijafika 30 lakini nina...
7 Reactions
9 Replies
756 Views
Ndugu Msomaji, Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo Hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio. Binafsi Siri Hii Nilijifunza 2020 Kutoka Kwa Mentor Wangu Dan Lok. Kitu Ambacho Kilibadilisha...
38 Reactions
53 Replies
4K Views
Mtoto wako akizaliwa mfungulie account za kijamii na uanze kuzikuza taratibu. Hii itamsaidia akikuwa Kwa sasa hivi soko la ajira na fursa zote limeshikiliwa na teknolojia . Ili kulinda privacy...
1 Reactions
13 Replies
666 Views
Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu...
3 Reactions
9 Replies
541 Views
Simnajua ndugu yenu tokea niachane na mma yenu mdogo kwa kufumaniwa ikanibidi nianze kutafuta mwingine basi jana natoka zangu kariakoo nikapanda gari ya kigamboni kisiwani, kukaa kwenye siti tu...
8 Reactions
15 Replies
1K Views
Ili kujenga jamii yenye utamaduni wa kufanya kazi kwa bidii ili kuchangia maendeleo ya taifa hili. Tunapaswa kupitia mabadiliko kadhaa moja ya mabadiliko hayo kama ushauri au pendekezo langu ni...
1 Reactions
24 Replies
756 Views
Ardhi karibu yote inayofaa kwa kwa Kilimo Namibia inamilikiwa na wazungu masalia ya wakoloni Wajerumani na makaburu wa Africa Kusini! Kizazi cha wakoloni ambacho ni 6% wanamiliki 70% ya ardhi...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri. Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
Dar es Salaam. Kwa utafiti mdogo. Ambao sihitaji ruksa ya mitume na manabii kuniruhusu niseme. Huu ni utafiti wangu binafsi. Nimetumia miaka kadhaa ili kuukamilisha na kimsingi kazi hiyo imeisha...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) wanao jiita viongozi wanawagana Tsh Milion 400 za walimu ambazo wametoa ada kwa chama iko. Chama icho kimeweka ada ya Tsh...
4 Reactions
44 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…