Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimejisikia vibaya Sana baada ya kumsikia Mzazi mmoja akimgombeza Mtoto wake aliyekua na ndoto ya kusomea ualimu, maongezi yao yalikua hivi. Mtoto: baba Mimi nataka kusomea ualimu. Baba...
16 Reactions
161 Replies
8K Views
Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa "Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi...
6 Reactions
111 Replies
4K Views
kwa sisi wakatoliki tunaitaka serikali ya dr. Samia, aingize kilatini katika mitaala yetu. Japo najua kiarabu kitafutwa siku raisi mwingine akiapishwa.
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY TPA -...
55 Reactions
311 Replies
32K Views
Mtanzania baharia aitwaye Fadhili Mohamed Omar amefariki akiwa kwenye meli nchini Uholanzi baada ya kujinyonga. Kwa mujibu wa taarifa marehemu alikua ni mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoa wa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii? Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu. Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
NEVER Learn These 11 Life Lessons the HARD Way! (Wise Words) Introduction Ever wish you could have a conversation with your older, wiser self? What secrets to a fulfilling life would they...
7 Reactions
5 Replies
900 Views
Salaam, Shalom! Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba; (Mathayo 6:10) "Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni...
3 Reactions
108 Replies
4K Views
Anonymous
Transfoma limeharibika kila ukipiga simu wanasema wanashuhulikia, ndio mwezi mzima? Tafadhali Tanesco kanda ya Pwani tuooneni huruma miradi inakufa maisha yanakuwa magumu, karne hii bila umeme...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Anaandika Habibu B. Anga, Sadaka ni sehemu ndogo ya source ya utajiri wao. Kizazi kipya cha wachungaji vijana wana formula mpya kali mno. Tony Kapola (Ubert Angel) -Zimbabwe Clear Malisa (Passion...
1 Reactions
8 Replies
856 Views
Ndugu zangu. 1: Ni kwanini basi TRA watangaze kazi kwenye website yao na maombi yatumwe kwao direct ikiwa kuna ajira portal ? 2: Na ikiwa kama serikali imewapa mamlaka na kibali cha kuajiri ...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Aisee kujua unaibiwa had ujaribu kitu kingine. Nimekua nikinunua hili bando la 2100 la Gb lakin halikai hata dk tu limeisha. Sasa hiz siku mbili nimeunga voda GB 1 inakaa sana aisee had sasa...
1 Reactions
9 Replies
505 Views
Nimekaa miaka sita kwenye Hii nchi hakika ni nchi nzuri mnoo geographical location yake ni katikati ya ulaya watu wake ni wachapa kazi ila pia wapenda starehe mnoo dini kuu ni Roman Catholic...
24 Reactions
100 Replies
19K Views
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama...
2 Reactions
66 Replies
11K Views
Tabata kuna bar mpya zimefunguliwa mfano The great Park, 40 by 40, kwetu pazuri, kwa kweli zinajaza sana watu. Ukitembelea hizi bar alafu ukasikia mtu analalamika hela imepotea mfukoni...
13 Reactions
123 Replies
15K Views
Wakati mwingine wanakuchukia kwasababu unavyopendwa na unakuubalika kwa watu au na mtu fulani hapo kazini/ofisini au ulipo Yawezekana kwasababu ya connection hizo ulizonazo na namna unavyoitwa...
5 Reactions
11 Replies
501 Views
Kuna wimbo unaitwa olodumare wa Joel Lwaga umekuwa maarufu kanisani watu wakitaja olodumare bila kujua maana yake nini. Katika nyakati hizi za hatari,nyimbo nyingi za hawa watu walioungwa na...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Nashauri kuwe na masomo ya vitendo maalumu kwa jamii pia kwaajili ya kujiandaa na kukabiliana na majanga mbalimbali kama vile moto, mafuriko, matetemeko ya ardhi n.k kwa mara nyingi masomo ya...
1 Reactions
19 Replies
738 Views
Back
Top Bottom