Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori. Ukitokea Lindi ni km...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama...
2 Reactions
7 Replies
743 Views
KWA WALE MSIOIJUA TANZANIA VIZURI SOMENI KWA MAKINI UTAJIRI WA TANZANIA HALAFU JIULIZE KWANINI NI MASIKINI WA MWISHO NA MALI ZOTE HIZI 1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru...
22 Reactions
98 Replies
15K Views
Kwangu mimi Mengi alikuwa na akili ya kutafuta hela kuliko MO. Sababu zangu ni hizi:- 1. Mengi alitafuta mtaji kwa jasho lake. MO alizaliwa 1975 akakuta mtaji kwenye akaunti. 2. Mengi ni...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Ndugu .. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
771 Views
Leo tumevamiwa ngomeni kwetu nawana ccm hapa Sombetini Arusha mjini na kuumizwa vibaya kwa baadhi ya wana cdm,nina mengi ya kuwaeleza lakini Niko kwenye tension kubwa,nawaza kwanini OCD kasema...
2 Reactions
95 Replies
8K Views
Wageni wa Kimataifa Wasifunge barabara jijini Dar. Hivi karibuni tumekuwa na neema ya kupata wageni, wakuu wa nchi za Afrika jijini Dar kwa ajili ya mikutano. Helkopta zitumike kuwatoa wageni...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu. Sipendelei sana kuingia deep kwenye mkasa mzima unaoihusu familia yangu , especially mimi na wife. Ila kwa kifupi tu, wife alizingua big big big time (usiulize nini maana ni...
33 Reactions
323 Replies
12K Views
ugonile, before sijajiajiri nilikua nikijiuliza sana hili swali bila kupata majibu endapo nimgeangukia kwenye hayo mambo ya kuajiriwa. wale mliopo huko ofisini na mpo chini ya watu wanaowazidi...
1 Reactions
14 Replies
568 Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu Watanzania eti; Kuna tofauti gani kati ya Mamlaka (Authority), Tume (Commission) na Bodi (Board)? (1) Kwanini zamani ilikuwa...
14 Reactions
90 Replies
12K Views
Tanzania kwa nini tunakua namna hii? Watu wa Brela mtu ameshakamilisha na kujaza form zote na kulipia kila kitu kitendo cha mfanyakazi wa Brela kubonyeza button "FINISH" kinachukua siku 2 mpaka 3...
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Siku hizi watu wanapokea simu ambazo zina umuhimu, zina faida, zinawapa furaha, au zina wito maalum kwenye mambo yao. Ukiona simu zako hazipokelewi jiongeze! Wakati mwingine unaweza kumpigia mtu...
1 Reactions
0 Replies
328 Views
Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Ofisi ya Rais, Serikali za Mitaa na Utawala Bora (OR-TAMISEMI), imeanza utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 kwa Shule za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mitandao yote ya kijamii matapeli wamejaa ila Facebook kwasababu ina watumiaji wengi kuliko mitandao mingine huko ndiko kuna matapeli concord. Shemeji yangu mhitimu wa chuo cha kilimo kaliwa na...
18 Reactions
48 Replies
4K Views
Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi. Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini...
5 Reactions
19 Replies
848 Views
Nashindwa kujua kwanini serikali haikuwapeleka hawa wasanii wawili huko Korea wakati mchango wao kwenye maigizo ya vichekesho upo wazi. Anyway mimi nataka nije dar kesho kutwa sasa natamani kweli...
3 Reactions
13 Replies
743 Views
Back
Top Bottom