Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unajua kwamba ukifa, the moment watu wamemaliza tu kukufukia(kuzikwa) dakika chache sana mbele vilio vyote vitanyamaza na watu wataacha kulia, tena wengine watakuwa wanacheka na kupiga story za...
13 Reactions
21 Replies
1K Views
Mimi nafikiri hawa jamaa waliamua tu kucheza na bonge la fursa lilionekana ndani yetu Tabu, Wasi Wasi, Ulimbukeni wa imani, Ushirikina. And they are very rich, na wamehakikisha hawatoki kapa kwa...
0 Reactions
12 Replies
591 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa...
0 Reactions
3 Replies
427 Views
Habari! Kuna demu wangu tangu nianze nae uhusiano uke wake ni mkavu sana kwenye tendo, licha ya romance na mautundu yote ila bado ni pakavu tu hali inayosababisha angalia sana na machozi na...
17 Reactions
173 Replies
7K Views
Si vibaya tukapeana mrejeshi ili kutoa hamasa mwa watu wengine, vijana na wenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi. Miaka 10 hadi 15 iliyopita na pengine zaidi nikiwa Chuoni kulizuka utaratibu wa...
20 Reactions
59 Replies
2K Views
Wanabodi, Japo Tanzania tuna makampuni mengi, na hakujawahi kufanyika survey yoyote ya mashindano ya makampuni kuwapenda Watanzania, kungefanyika mashindano hayo, kuna uwezekano kampuni ya mafuta...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota, pamoja na Mnec, Mwita Gachuma, wamejeruhiwa baada ya Gari waliyokuwa wamepanda wakielekea Kumpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, Eneo...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Anonymous
Kituo cha afya mji wa Tunduma marufu kama Serikalini wanatoza fedha ya kumuona daktari, vipimo pamoja na kuuza dawa kwa wagonjwa wachanga wa chini ya miaka mitano Serikali iingilie kati suala...
1 Reactions
0 Replies
229 Views
Watanzania wengi sana huwa wanashangaa mtu akikataa ajira hata kama kwao pesa zipo, hii ni mentality ya uoga wa maisha, Yani uwe na baba mfanyabiashara aliefanikiwa, connections kama zote...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Ukweli mchungu kwa mazingira ya Tanzania elimu haina maana yeyote. Watu waliosoma vizuri uko nyuma asilimia kubwa wapo nje ya nchi wanafanyakazi na kulipwa vizuri Waliobaki Tanzania wengi ndo...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanafunzi hao wameshindwa kusaini malipo ya ada kwenye mfumo kutokana na changamoto za mfumo wenyewe, jambo hili linawafanya washindwe kufanya mitihani yao ya muhula huu ambayo inaelekea kuanza...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Sio ajabu kuona watu kama kina Samantha Power, Michele Sumilas, Clinton D. White pamoja na Kimberly Ball wakiumia na kugugumia maumivu juu ya ushindi wa Donald Trump. Kwa Wamarekani ni wazi kuwa...
10 Reactions
115 Replies
6K Views
To be honest Kwa sisi wafanya -biashara tunabidi kumshukuru Sana Mungu na kumuombea maisha marefu mmiliki wa hii mitandao ,Facebook, Instagram na WhatsApp. Familia zetu zinakula na kunywa kupitia...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba...
0 Reactions
11 Replies
616 Views
Nakumbuka hata mimi nilivyokuwa teenager nilidhani dunia ndio inanizunguka mimi, yani nilijua nilichokijua kuwa ni bora ndicho kilicho bora kuliko vingine vyote. Yani leo hii mtu anakuja kuandika...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Shibe na njaa vyote si shuruti huanza na kiu yako au njaa yako, mahaba kwa mpishi na mahaba kwa aina ya chakula. Kama njaa Ina chakula basi nayo mapenzi ya njaa yake na kiu yake. Sirudii mwenye...
1 Reactions
4 Replies
363 Views
Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu. Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
369 Views
Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu Ifahamu nchi ya Australia...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
By Mosiqi Acharya Department of Immigration and Border Protection (DIBP) have released the new Skilled Occupations List (SOL) for 2016-17. This list will come into effect from 1st July, 2016...
1 Reactions
60 Replies
11K Views
Back
Top Bottom