Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limezindua huduma za usafiri wa ndege za shirika hilo mkoani Mtwara ambapo ndege hizo zitakuwa zikifanya safari za Dar es Salaam-Mtwara mara tatu kwa wiki...
1 Reactions
5 Replies
982 Views
Wanagroup huko linaitwa HMS TANZANIA. Huko tayari limejaa ujinga ujinga mtupu wa habari za Simba na Yanga. Lengo la group kujadili taaluma halipo tena.....muda wote ni mpira tu wa Simba na Yanga...
1 Reactions
4 Replies
386 Views
Watu husema kuwa dhahabu mara nyingi hupotea kimazingara. Yaani unaweza kuiweka tu ikapotea. Wanahusisha na mambo ya majini nadhani. Wengine huenda mbali na kusema ukinunua dhahabu unatakiwa...
3 Reactions
20 Replies
9K Views
Mtoto Shamimu Nasibu, mwenye umri wa miaka miwili ambaye aliripotiwa kupotea alipokuwa akicheza na mwenzake karibu na nyumbani kwao, hatimaye amepatikana akiwa hai kwenye mashamba ya miwa katika...
1 Reactions
2 Replies
411 Views
Hawa ndugu wakiumu,waliozaliwa na mama mmoja ila baba tofauti,wote ni madereva na asili yao ni wahindi.Maisha yao wanayoishi ni kama waafrika kabisa,kwa kila kitu,kula,kuvaa,mademu ni kama...
6 Reactions
20 Replies
931 Views
Aisee huwezi amini kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka 13 tokea niingie hapa mjini nalala bila kufunga chandarau maana mbu wametoweka kabisaa, hata sauti siisikii kabisaa. Vipi huko...
5 Reactions
12 Replies
650 Views
Falsafa ya kiuchumi kwa Wayahudi ina mizizi yake katika maandiko ya Kiebrania, kama vile Torah, Talmud, na maandiko mengine ya Kiyahudi. Falsafa hii inaakisi maadili na kanuni za Kiyahudi...
2 Reactions
6 Replies
499 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Rais Mstaafu Kikwete 2. Makamu wa Rais Dk. Mipango 3. Waziri wa Fedha Dk. Nchemba 4. Waziri Mavunde 5. Waziri Kikwete 6. Msemaji wa Serikali Msigwa 7. Mkuu wa Mkoa DSM DC Chalamila Laiti hawa...
23 Reactions
102 Replies
4K Views
ANDIKO LA MSINGI Yohana 1:43-46. Biblia inasema hivi: "43. Siku ya pili yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. 44. Naye Filipo alikuwa mtu wa...
2 Reactions
7 Replies
663 Views
Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Huyu nilimkuta kwenye tiles. Nashangaa anatokea wapi Naomba wale waelevu wanipe msaada asitokee tena
3 Reactions
11 Replies
561 Views
Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie...
30 Reactions
196 Replies
10K Views
Natamani Sana nikija kufika miaka kuanzia 40 niishi nnje ya dar kabisa, nataman nipate wilaya yenye Sifa zifiatazo:- *maji Safi *Umeme *Ardhi yenye rutuba *Vyakula vya kutosha *Pawe panalimwa +...
1 Reactions
7 Replies
473 Views
UGUMU WA MAWASILIANO YA BARABARA NA MADARAJA NDANI KATA YA KIBATA WILAYA YA KILWA NI WA KUTISHA. Kibata ni miongoni mwa kata 23 ndani ya Wilaya ya Kilwa. Kata hii Ina vijiji vinne. Kata hii Ina...
0 Reactions
2 Replies
435 Views
Habari Wadai. Hili jambo linakera sana watumishi wa halmashauri ya Kilwa hususan walimu wa sekondari. Inashangaza kuona mwalimu kaenea likizo tangu Juni 2021 na katumia nauli yake kwenda likizo...
1 Reactions
1 Replies
292 Views
Raia wa kigeni kutoka Ufaransa, Nakar Fszman (51), amepatikana akiwa hai baada ya kupotea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kisiwa cha Songosongo, Wilaya ya Kilwa. Fszman alipotea Februari 23...
2 Reactions
9 Replies
805 Views
  • Closed
Pichani anaitwa Kevin Charles. Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai. Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya...
2 Reactions
1 Replies
417 Views
1: Nigeria kulikuwa na Wole Soyinka, Chinua Achebe. 2: Kenya kulikuwa na mtu kama Ngugi wa Thiongo. 3: Uganda kulikuwa na Okot P'Bitek. Wote hawa waliitwa African writers na vitabu vyao vilisomwa...
4 Reactions
100 Replies
12K Views
Siyo kwamba Traffic haziona la hasha wanaziona na wanaingia Hadi ndani mwezi wa kwanza mwishoni nimepanda gari ya kwenda Geita ikitoka kakola hiki ndo nilicho jionea! Kwanza unapotola tu stend ya...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom