Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna level ya Uoga na kujali maneno ya watu nilisha ivuka, so kama mnadhani hizi nyuzi zenu za kimkakati wa kunipakazia ujinga humu jukwaani zitanitoa mchezoni mnajidanganya sana Naona mnakazana...
3 Reactions
38 Replies
373 Views
Sala na maombi hazijengi nchi. Hakuna nchi yoyote duniani ilijengwa kwa sala na maombi. Wagwan! What's up! Was geht ab! Economic comparison 👇 Americans: Let's Dominate Chinese: Let's Produce...
32 Reactions
293 Replies
3K Views
Huyu jamaa angempa hata teni
2 Reactions
8 Replies
127 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameanza ziara mkoani Morogoro ya kukagua hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na mvua za El...
1 Reactions
1 Replies
133 Views
Jana wakati natoka Manyara kuelekea Tanga nikapita Arusha, sasa nikakutana na matangazo kuwa mkutano wa 153 wa IPU unafanyika kuanzia kesho jumatatu tarehe 5 mpaka tarehe 9 Oktona, pale katika...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
TABORA: Kliniki ya Ardhi Kidijiti mkoani Tabora imehitimishwa kwa mafanikio makubwa, huku wananchi wakiondoka na tabasamu baada ya kukabidhiwa jumla ya Hati Milki za Ardhi 389, hatua inayochangia...
0 Reactions
5 Replies
70 Views
KASULU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ameendelea na ukaguzi wa maeneo ya uwekezaji ambapo ametembelea eneo la mradi wa kilimo cha miwa na uzalishaji...
0 Reactions
1 Replies
44 Views
Kuna kipindi kwenye maisha unafika mahali unakaa kimya, si kwa sababu huna cha kusema, bali kwa sababu umechoka kueleza unachopitia. Unaamka asubuhi, lakini moyo hauna furaha. Unaendelea na siku...
12 Reactions
22 Replies
388 Views
Wananchi wa Mkoa wa Kagera wamejitokeza kwa wingi katika kliniki ya ardhi iliyofanyika mkoani humo, ambapo huduma mbalimbali za sekta ya ardhi zimetolewa, ikiwemo utoaji wa hati za miliki za ardhi...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Naliamsha dudeeeeee (kwa sauti ya gwajima). Jumapili mje kwa wingi sana na virekoda vyenu.
1 Reactions
1 Replies
117 Views
  • Redirect
Kwa kawaida kumekuwa na mitazamo hasi kuhusu uhuru wa mapenzi na ndoa.Hali hii imefanya waungwana wa KATAA NDOA wawe na wakati mgumu wanapokuwa wanaelezea facts zao kuhusu UPUUZI na UNYONYAJI...
1 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Nipo Mkoa wa Shinyanga, Wilaya ya Kishapu, ambako baadhi ya vijiji havina maji kabisa. Mfano ni Kijiji cha Kiloleli, ambapo wananchi wengi hununua ndoo moja ya maji kwa Sh1,500. Hali ni mbaya...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Ahmed Khalifa ni mchambuzi wa kisiasa anaehishimika sana mashariki ya kati.
8 Reactions
8 Replies
136 Views
Laana ni nguvu ya kiroho inayoandama maisha ya mtu asifanikiwe kwenye maisha na kuwa na maisha magumu kupititiza.Kuna vyanzo mbali mbali vinavyoleta laana kwenyeaisha ya watu duniani,nitaorodhesha...
4 Reactions
24 Replies
425 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana Misri hawana mvua ila wana pesa nyingi kutuzidi. Je, watuchimbie mabwawa kama ya JULIUS NYERERE mikoa ya Kanda ya ziwa Victoria na sisi (Tanzania) tuwape maji ya ziwa...
3 Reactions
13 Replies
179 Views
Anonymous
Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Habari wana JF Nimeanzisha mjadala huu kwa ajili ya kubadilishana uzoefu kuhusu usafi wa nyumbani. Kila mmoja ana changamoto yake katika usafi; wengine wanapata shida kuondoa uchafu kwenye...
3 Reactions
9 Replies
115 Views
Tumsifu yesu kristu. Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa...
1 Reactions
0 Replies
59 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…