Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
1 Reactions
7 Replies
491 Views
Kwa masikitiko makubwa huwa najiuliza hivi barabara ya Dodoma to Iringa ilijengwa kwa pesa za nani, ilijengwa bure? Nani alikuwa mkandarasi, nani alitoa hela, nani alikagua, nani alikabidhiwa...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
KUH; MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA UKEKETAJI DHIDI YA MWANAMKE NA MTOTO WA KIKE TAREHE 6 FEBRUARI, 2025 Dar es Salaam, 02 Februari, 2025 Ndugu wanahabari, tarehe 6 Februari...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Wakuu habari za usiku, Natumai nyote mko salama. Naomba kushare uzoefu mbaya nilioupata katika moja ya mabasi ya Alys Star yanayofanya safari za Mwanza - Dar. Katika harakati za kutafuta mkate...
3 Reactions
8 Replies
727 Views
Sikumbuki ile siku ilikuwa siku gani kati ya Jumamosi na Jumapili. Nipo na family mwaka jana mwishoni. Tumeenda fanya shopping vitu vya siku kuu. Tukiwa ndani ukafika muda wa kufunga duka kama...
6 Reactions
17 Replies
899 Views
Huu mfumo naona hauko sawa tangu Jana. Nimefanya malipo mara mbili lakini maelekezo yanayotoka ya jinsi ya kupata document hayako sawa na ninachokiona lakini bill inaonekana haijalipwa na mbaya...
2 Reactions
4 Replies
511 Views
Nimeona baadhi ya movie kadhaa hasa za kinaijeria zenye content kuhusu maagano.. Sasa nakuja kwenu wakuu je maagano haya HUwa yanaukweli wowote ?? Yanaweza kwenda na negative impact kama...
2 Reactions
9 Replies
526 Views
Amani iwe nanyi. Hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe amezua taharuki na sintofahamu kwa Waislamu wa Wilaya ya Kisarawe na Tanzania kwa ujumla baada ya kuvamia msikiti huko Kiluvya na...
17 Reactions
505 Replies
28K Views
Kwa kwenda juu na kushuka chini ulimwengu una mwisho? Wazee wa zamani walijua Kijiji wanachoishi ndiyo mwisho was dunia na hakuna maisha nje ya Kijiji. Baadae maendeleo yakafanya watu wajue...
10 Reactions
82 Replies
21K Views
Ni kiapo cha damu na maji, hii ni kwasababu vyote viwili vina uhai na katika kukutanika kwao huumba roho isiyokufa na yenye madhara makubwa kutokana na kiapo au manuizi husika. Kuna hivi viapo...
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Nchi za Waarabu za Saudi Arabia, Qatar, UAE, Kuwait, Oman na Bahrain ni nchi tajiri sana, hazina madeni na zina akiba ya matrilioni ya pesa kutoka kwenye mafuta na gas inayozihifadhi katika...
13 Reactions
100 Replies
3K Views
Kumekua na tabia za kupigiwa simu na watu wanaojiita mawakala wa TRA wakitangaza biashara zao za kuuza electronic efd machines kwamba unaweza kutoa efd receipt kupitia simu ya mkononi. Natambua...
1 Reactions
3 Replies
568 Views
Rais wa Marekani ambaye hivi karibuni alikutana na Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anajaribu kuchukua hatua za kuilinda Israel na kuzilazimisha nchi zingine...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Moja ya watu wasumbufu katika masoko ni wale wanaomiliki vizimba zaidi ya kimoja na kuwapangishia wafanyabiashara wengine. Hii husababisha migogoro mingi. Kwa mfano, soko lenye vizimba 100...
6 Reactions
12 Replies
736 Views
Naamini humu sitokosa mtu anaefanya hii biashara kama si mfanya hii biashara ila ana idea na elimu au taarifa kuhusu hii biashara. Ni moja ya biashara ambayo nimechagua kuifanya kwa ukubwa sana...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani Katika ndoto yangu, nilijikuta nikitembea kijijini kwetu, nikiona watoto wakicheza kwa furaha barazani. Wakati huo huo, kulikuwa...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Nimewahi simuliwa na mtoto wa mama mdogo aliyewahi kufungwa jela. Aliniambia yote yanayofanyika kule ufirauni na ubabe na kila kadhia aliyokutana nayo tangu day one hadi anatoka kule. Huenda...
2 Reactions
13 Replies
980 Views
Kuna mazingira nipo na yanaleta makwazo ila siku nitakayo ondoka katizq situation hizi nitasema asante Kuna nyakati nyingi ila nyakati mbaya na chungu hudumu sana kuliko furaha ila I trust one...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe...
9 Reactions
63 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…