Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unamkumbuka yule mtoto aliyeibiwa juzi kati hapa kule Pwani? Sasa habari njema ni kwamba Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro chini ya kamanda wake Alex Mkama wamethibitisha kupatikana kwa mtoto huyo...
5 Reactions
70 Replies
4K Views
Mtumishi wa Umma anapaswa Kustaafu Kwa lazima yaani Kwa mujibu wa sheria afikishapo umri wa miaka 60 na KADA nyingine miaka 65 Kustaafu Kwa hiyari ni kuanzia miaka 55 Na unaweza...
2 Reactions
5 Replies
644 Views
Habari za zenu wana JF. Leo nimeona ni share experience yangu hapo nyuma. Binafsi nimeajiriwa but private sector, baada ya kuhitimu elimu ya juu nilihangaika sana kwani nilihisi elimu yangu...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi. Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza. Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Niko hapa nasikiliza Planet bongo ya East Africa radio ambayo inaruka kutoka Tumaini university. Huyu mtangazaji aitwaye February amefanya kitu cha ovyo kabisa leo, wakati anamhoji amemuuliza...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Nafikiri ipo haja ya kuwaunga kwenye grid kama bado, kwani ile Diesel wanayotumia ni ghali sana ukilinganisha na gharama za umeme wa maji. Katika kipindi cha mahojiano Radio one jioni hii; Naibu...
1 Reactions
7 Replies
460 Views
Wakuu Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini. But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili...
6 Reactions
7 Replies
576 Views
Hata kama ni kubunya huku mnazidisha aisee. Mbona Dom-Kondoa-Babati-Arusha barabara imejengwa standard kabisa haina mashimo kama hiyo ya Dom-Iringa?
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Mfanyabiashara maarufu nchini Ghalib Said Mohamed ( GSM) akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa ametoa tsh million 60 kujengea dispensary ya Kibaigwa wilayani Kongwa mkoani Dodoma ambako ni makao...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Dini ni uhusiano wa karibu sana kati ya Mtu na mwenyezi Mungu bila kuwepo na kitu chpchote kati yako na Mungu. Uhusiano huu ndio aliokuwa nao Adam baada ya kuumbwa. Hakukuwa na Mchungaji siku...
4 Reactions
7 Replies
491 Views
Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za...
2 Reactions
3 Replies
472 Views
CCM tayari wameshabugi kwa kumchagua mgombea wao kiholela, hata kama inajulikana ni mama ndiye angekuwa mgombea, lakini nguvu ya "MCHAKATO" wenyewe ndiyo huwa inaleta mshindo mkuu huko mtaani...
1 Reactions
0 Replies
192 Views
Mhe. Tundu Antipas Mughway Lissu, Mwenyekiti Mtarajiwa wa Chadema na Mgombea Urais Mtarajiwa Katika Uchaguzi wa 2025 Kutokana na mikutano mikuu ya Chadema na CCM inayofanyika kwa kufuatana ndani...
2 Reactions
9 Replies
843 Views
Maisha yanakufundisha nini wakati huu?
2 Reactions
26 Replies
1K Views
IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM...
41 Reactions
163 Replies
5K Views
Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao...
1 Reactions
5 Replies
456 Views
Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..! Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom) Sakata la Shadrack...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Hawa wanaoajiriwa kuangalia afya wako wapi au ndio kuchaguana
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Maoni binafsi Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja. The bible is there Quruan is there But only few people can...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Taka zilizokuwa zimerundikwa barabarani kwa zaidi ya siku tatu eneo la Tegeta - Kwandevu na kusababisha kero kwa waendeshaji wa vyombo vya moto sambamba na kuhatarisha afya za Wananchi umezolewa...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…