Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana. Kuna watu wanatamani kuona unateseka. Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote. Kina watu mafanikio yako yanawauma...
40 Reactions
189 Replies
6K Views
Wakuu, Media ya Dar24 kupitia ukurasa wake wa Insta wameweka tangazo la kupotelewa na Mkugenzi wao ambaye amatoweka toka tar 31/10/2024. Wasiyojulikana wameamka tena?! == Dar24 Media...
15 Reactions
64 Replies
5K Views
Zab 113:7-8 SUV [7] Humwinua mnyonge kutoka mavumbini, Na kumpandisha maskini kutoka jaani. [8] Amketishe pamoja na wakuu, Pamoja na wakuu wa watu wake. Kuna mazingira mtu anakuwepo, watu...
4 Reactions
12 Replies
618 Views
Juzi tumeona waziri mkuu Majaliwa kassim Majaliwa bila aibu akisimama na kuipigia debe taasisi ya VETA ianze kudahili wanafunzi wenye degree.. na hii kutokana na uwepo wa wahitimu wengi wenye...
1 Reactions
5 Replies
641 Views
1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Leo ndio leo Leo hakuna maneno mengi leo nitataja mbinu mbalimbali zilizotumika kusafirisha magendo ikiwamo madawa ya kulevya, bidhaa kama sukari na vipodozi na kusafirisha wafanyakazi kutoka...
16 Reactions
61 Replies
4K Views
Hawa jamaa ni kama hawafi hadi wafikie kuitwa Waziri Mkuu. Huku mtaani kuna Wamasai wengi tu wanafanya shughuli mbalimbali, wengine wanalinda majengo yetu, wengine wanaouza dawa NK lakini sijawahi...
25 Reactions
126 Replies
6K Views
Mkuu wa Idara ya Njia Mbadala za Kidijitali, Silas Matoi (kati) wa Benki ya Exim akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya UEFA Priceless inayolenga kuhamasisha matumizi ya Exim Mastercard...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Habari za asubuhi, natumai ni wazima wa afya ndugu zangu Naomba kupata Elimu kidogo juu ya dhana kwamba Jamii ya kimasia hutumia MKUKI kama ishara ya kuhalalisha zinaa au kuweza kuchepuka na...
0 Reactions
2 Replies
261 Views
Mwanamke mmoja nchini Kenya ambaye amehifadhiwa jina lake, alijikuta katika wakati mgumu sana uliopelekea Afya yake kuzorota mpaka kukaribia kufa.😳😳 Ni baada ya kujiingizia ndizi ukeni ambayo...
2 Reactions
6 Replies
691 Views
Habari wanajamvi, niruhusu niingie moja kwa moja kwenye mada husika. Hata hivyo, nataka kuwashukuru wale wote wanaochangia katika kuleta mawazo ya maendeleo, hata kama wewe ni mfanyabiashara...
8 Reactions
20 Replies
885 Views
Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha. Leo tupitie na...
1 Reactions
2 Replies
475 Views
kuna zoezi la kukusanya kodi madukani linaendelea uratibu uonaotumika ni kuvamia maduka ya watu na kuchukua vitu imepelekea baadhi ya maofisa kupigwa maeneo ya kivule, ni utaratibu gani huu jamani...
11 Reactions
40 Replies
2K Views
Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria. Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Wakuu, Imagine, upo katika moja ya mkutano wa Mhe. Rais na ukapata nafasi ya kuuwakilisha mtaa wako kufikisha kero kwa mheshimiwa Rais wa nchi hii. Unafikili wewe kama mwakilishi wa wanachi wa...
3 Reactions
70 Replies
2K Views
Ni kweli kabisa Pesa ya zama (Rupia) ni pesa yenye maajabu na yenye kustaajabisa haswa ukiishika mkononi. Naam, ilikua mishale ya saa Mbili mbili hivi usiku tena kuna kiza kimetanda Lakini kuna...
1 Reactions
6 Replies
563 Views
Majuzi niliandika Uzi humu nikisema nataka kufanya utalii wa ndani mikoa ya kusini then nikaomba suggestion nianze na Newala au Songea? Mdau mmoja akasema niende Songea sintojuta. Mwingine...
15 Reactions
150 Replies
10K Views
Bahati Nasibu ya Taifa inayo furaha kutangaza ushirikiano wa kimkakati na Shirika la Posta Tanzania, wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa michezo ya kubahatisha kote nchini. Kupitia ushirikiano...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili kwa tuhuma za ubakaji wa wanafunzi wao katika matukio mawili tofauti, yaliyotokea wilayani Sengerema. Akizungumza na wanahabari siku ya...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
😎 Kama ningetoa ushauri mmoja kwa watu wa miaka ya 20 ambao wanataka kujenga kitu kikubwa, ingekuwa: "Usinywe pombe kamwe." Sijanywa pombe kwa karibu miaka 5, lakini nimewaona watu wengi wenye...
8 Reactions
21 Replies
947 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…