Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KUMBUKUMBU 28:12-13 .. atakubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe. BWANA atakufanya kuwa kichwa, wala si mkia; nawe utakuwa juu tu, wala huwi chini...
2 Reactions
2 Replies
296 Views
Hivi huu mradi wa uwepo wa Binadamu ulikuwa Una lengo gani ? Ikiwa sasa ni zaidi ya miaka 2000+ Watu wanauana Wanakuwa malaya Wanakufa kwa ukimwi Na mwisho unakufa doesn't matter you are rich...
15 Reactions
183 Replies
6K Views
Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile...
1 Reactions
0 Replies
306 Views
Tiktok kuna content za hovyo zinazokejeli dini ya kiislamu haswa kwenye Huu mfungo (mwezi mtukufu). Vijana wajinga wajinga wasiojua hata uislamu ni Nini ?!! Hata hawajui mfungo Wa Ramadhani ni...
1 Reactions
18 Replies
968 Views
Hii ni futari iliyoandaliwa na Wasafi, huku wanaofuturishwa hawakuwahi kufunga Ramadhan akiwemo huyo Millard Ayo Lakini cha kushangaza ni kugeuza futari hiyo kuwa bango la matangazo ya...
6 Reactions
16 Replies
775 Views
Imani za watu, huvunjika na kupotea baada ya kupatwa na mtihani wa mauti. Hapo hata wapendwa, mashehk, mapadri, wachungaji hulia kwa huzuni ya kuondokewa na mpendwa wake. Ni ngumu kukabiliana na...
1 Reactions
3 Replies
494 Views
Zaidi ya nyumba 432 zimebomoka na nyingine kuezuliwa paa baada ya Mvua iliyoambatana na upepo kunyesha katika kata ya Iragua wilaya ya ULANGA Mkoani Morogoro na kuathiri vijiji vinne vilivyopo...
1 Reactions
1 Replies
368 Views
Katavi University of Agriculture (KUA) ilipata mpaka ithibati ya kutoa Shahada za Awali zaidi ya miaka 5 iliyopita, wakapewa mpaka Ardhi ya kuendeleza. Lakini yaliyobaki Ni historia. Kuna watu...
18 Reactions
69 Replies
8K Views
Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu...
20 Reactions
100 Replies
3K Views
Maandishi haya, I.N.R.I., yanatokana na Kilatini: Iesus = Yesu Nazarenus = Mnazareti Rex = Mfalme Iudaeorum = Wayahudi ambayo maana yake ni "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi." Maneno haya...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Hakikisha Taarifa unazozisambaza kwa watu wengine unazithibitisha kwanza uhalisia wake ili kuepuka Taarifa Potofu kwani zinaweza kusababisha taharuki katika jamii. Tumia Jukwaa la JamiiCheck.com...
1 Reactions
0 Replies
325 Views
Siku moja jamaa yangu mmoja kutoka kijijini alinipigia simu akaniambia, "Kaka, nimefika mjini!" Nikamuuliza, "Umefika wapi?" Akasema, "Posta, daraja la Salender Bridge." Nikashangaa, maana...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
13 Reactions
19 Replies
940 Views
ACCEPTANCE: Kujifunza kukubaliana na hali yako. Yani uta-enjoy hata vidogo maisha itakayo ku-offer, tofauti na hapo kila asubuhi utaamka na stress. Kutuliza kwanza hisia ili niikaribishe akili...
2 Reactions
3 Replies
275 Views
Maybe JF has become a circus, na siwezi kumlaumu yoyote maana kila enzi ina hatua yake na kila hatua ina enzi yake. Sasa sijui ni hali ya kisasa ya hili jukwaa ndio inawakimbiza wachangiaji kuntu...
2 Reactions
2 Replies
236 Views
Sidhani kama muongozo wa Dini unataka hivyo hapa wanazuoni watanisaidia mimi siyo mtaalamu sana katika elimu ya kutoa sadaka. Wiki iliyopita sheikh wa Mkoa wa shinyanga Sheikh Ismail, alifanya...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu watanzania kuweni makini na CCM, imeshaanza figisu mapema yote hii. CCM haina hata aibu imetoka msituni na sasa inapita mtaani kuomba namba yako ya simu au namba yako ya kadi ya mpiga kura...
3 Reactions
2 Replies
249 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…