Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni tamaduni kwa kila siku Jua kuchomoza alfajiri na kuzama jioni, kisha kiza kutawala. Lakini hii ni tofauti kwa baadhi ya nchi ambazo kwao jua kuzama ni kama maajabu kwao. Nchi hizo ni Sweden...
16 Reactions
48 Replies
8K Views
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamani Sedoyeka amesema chuo hicho katika mwaka wa fedha 2025/2026 imejipanga kuwekeza zaidi ya shilingi bilioni nne(4bilioni) katika teknolojia za...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
MGODI wa Dhahabu wa Manda, unaomilikiwa na Wakinamama chini ya uenyekiti wa Asha Msangi umechangia Shilingi Milioni 800 katika maduhuli ya Serikali kwa mwaka huu wa fedha 2024/2025. Mgodi huo...
2 Reactions
3 Replies
392 Views
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahakama ya Tanzania imekabidhi makasha 10 ya kisasa ya Mahakama Mtandao kwa Jeshi la Magereza, yatakayowezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao ili kusaidia utoaji haki kwa wakati...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Kwanini Zanzibar hakuna jiji? Mfano, Jiji la Pemba au Unguja au hawakidhi vigezo?
2 Reactions
5 Replies
456 Views
Naibu katibu tawala wa wilaya ya Arusha mjini akera wananchi baada ya kuwajibu wananchi acheni ujinga na wananchi kugoma kumsikiliza waamtaka aondoke Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005 kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga...
15 Reactions
133 Replies
4K Views
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Kati ya tatizo la watu wengi ni kutofahamu dalili za kuonyesha kwamba wamefungwa na nguvu za giza.... Na vifungo vya nguvu za giza ni mojawapo ya mkakati mkubwa wa kuzimu kiasi ambacho...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya...
9 Reactions
54 Replies
2K Views
Amani kwenu watumishi wa MUNGU wote Waislamu wilayani Chato Mkoa wa Geita wameiomba Serikali na wadau mbalimbali kusaidia kukamilisha ujenzi wa Msikiti wa Al-huda unaojengwa katika Kata ya...
1 Reactions
10 Replies
720 Views
Nimesikitishwa kuona watu wamekamatwa baada ya kuzuia watu wasio na sifa kuandikishwa kupiga kura kwasababu hawana sifa, baadhi yao nimesikia katika vyombo vya habari ikiwemo JamiiForums kuwa...
0 Reactions
4 Replies
461 Views
Vyombo vya dola wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora vinawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuiba miundombinu ya mradi wa maji ikiwemo mabomba ya maji, katika mradi wa maji unaotekelezwa Kata ya...
0 Reactions
1 Replies
373 Views
Nimeanza kushikwa wasiwasi hata Lucas mwashamba inawezekana mada zake zikawa anajiongelesha mwenyewe. Ukiwa unatembea mtaani au njiani watu wengi unakuta wanajiongelesha wenyewe unaweza kusema...
16 Reactions
27 Replies
1K Views
Kipindi Cha nyuma tulikuwa na uwezo wa kuangalia namba zangu nilizosajili kupitia namba ya NIDA sasa hii *106# inatambua namba za mtandao husika tuu. Kama Kuna mtu amecheza na mfuko au na namba...
1 Reactions
4 Replies
756 Views
Shirika la ndege ATCL lenye ndege 11 za kukodi kutoka TGFA limeajiri marubani 106 95 wanaume 11 wanawake 1 Si Mtanzania 105 Watanzania NB: Hili shirika haliwezi pata faida sababu lina...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Kama utahitaji kupinga hili basi wewe ni mbishi tu tangu kuzaliwa. Ukabila nchi hii upo nje nje kabisa ni rahisi sana kukuta watu wa kabila moja wako zaidi 96% kuliko makabila mengine ikiwa tu...
34 Reactions
138 Replies
6K Views
Kujistiri kwa mwanamke wa Kiislamu ni mojawapo ya maamrisho ya msingi ambayo yamewekwa na Mwenyezi Mungu ili kumlinda, kumheshimu, na kumtunza mwanamke dhidi ya maovu na machafu ya dunia. Hii ni...
4 Reactions
10 Replies
990 Views
Mh. Rais wangu.. Hongera na pongezi sana kwa juhudi na uzalendo wako mkubwa mno kuijenga nchi yetu kuleta maendeleo. Kwanza nianze haraka mno, kila mtu anatambua juhudi zako na zinaonekana na...
10 Reactions
132 Replies
24K Views
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Morogoro limedhibiti moto mkubwa uliozuka katika mtaa wa Ngoto Manispaa ya Morogoro na kuteketeza vibanda zaidi ya 10 vya wafanyabiashara wa samani za ndani na...
0 Reactions
6 Replies
591 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…