Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa.
Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi...
Wakuu,
Kwa hii foleni niliyoiona huku kwenye vituo vya kujiandikishia sidhani kama zoezi litafanikiwa hapa Dar es Salaam kwa siku saba kama ilivyopangwa.
Kwanza wananchi wengi wanakua makazini...
Wadau wa Jamiiforums, habari yenu!
Mambo vipi? Mkiwa mnapiga misele huku na kule, nasikia wengine tayari mpo 'site' na wengine mpo vijiweni mkiwasha kahawa. Basi karibu tujumuike kwenye huu uzi...
Watanzania ni wamoja. Haijalishi tofauti ya mitazamo ya kisiasa au ya kidini. Linapokuja swala la usalama wa nchi lazima mshikamano na Umoja wetu uwe imara.
Siku kadhaa nyuma kuna mkuu mmoja wa...
Hakuna mtu mwenye ghetto baya
Zingatia hivi vitu
1.Usifunge pazia na kamba
2.Pangilia rangi ya vitu ndani kwako usinune vitu rangi zigzag
3.Hakikisha unafanya usafi, panga kila kitu sehemu yake...
Bwana Yesu asifiwe wapendwa wa Mungu, namshukuru Mungu mwingi wa Rehema aliyenipa neema ya kukushirikisha ujumbe huu mzuri kwa siku ya leo.
📌 Imekuwa kawaida kusikia mtu ameokoka lakini bado...
Habari wakuu
Msaada wenu, nina binti yangu Umri miaka 5, hataki kutumwa, hasalimii watu tushamfunza sana kusalimia watu lakini wapi hataki
Ukimkataza kitu haelewi atafanya ulichomkataza, kaanza...
▪️Ni sehenu ya utekekezaji wa Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde leo amegawa Mitungi ya Gesi kwa Mamalishe...
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi.
Kauli ya Odinga inakuja...
Wakuu,
Kama mnakumbuka siku chache nyumba niliweka uzi wangu hapa kuhusu uwepo wa Wachina wengi nchini.
Mjadala ulikuwa mkali mkali mno humu na naona Clouds waliona uzi ule wakaamua kwenda nao...
YAH: MALALAMIKO KWA NIABA YA WANANCHI WA RUSUMO KUHUSU HUDUMA DUNI KATIKA KITUO CHA AFYA RUSUMO
Kwa heshima na taadhima, mimi, kwa niaba ya wananchi wa Rusumo, nawasilisha malalamiko yafuatayo...
Makarani wanaotuandikisha kwenye daftari la mpiga kura wawe na siri wanapouliza taarifa zetu binafsi kama vile mahali pa kuzaliwa, namba ya simu, mwaka wa kuzaliwa n.k
Karani anakuuliza mwaka...
Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!
Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa...
Kweli biblia haiwezi kudanganya hata kidogo, lile andiko la wanawake 10 watamzingira mwanaume mmoja na kumwambia tuoe utufichie aibu zetu kama linatimia hivi.
Kuna mshangazi mmoja naona ameona...
Na mifano mingi nimeona mtu alikuwa vizuri baada ya mambo kwenda kinyuma ndio wanaongoza kuwa daftari la kuwai namba nyumba za ibada na wengine kuwa wapenzi wazuri wa ulonzi kila jambo.
Nenda...
Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa.
AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service...
Hapa ilikuwa ana expose utapeli wa khomenei mtu ambae anatumia uislam kuhamasisha machafuko.
Katika historia tunakumbushwa kuwa jinsi waislam walivyokuwa wanafanyiwa machafuko, mohameed...
Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia...