Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Askari Polisi wawili wameuawa huko Mpwapwa baada ya kutokea majibizano ya Risasi Kati ya Polisi na Mtuhumiwa Mtuhumiwa huyo Athanasia Malenda naye ameuawa. --- Askari Polisi wawili wamefariki...
19 Reactions
109 Replies
7K Views
Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na...
48 Reactions
201 Replies
9K Views
Wanabodi, Hii hoja ya wasomi wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kusoma VETA. Shuhudia hizi Testimonials.... https://youtu.be/Rzr6coD9ihs?si=ZKYzt1V9FZFITszQ kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
25 Reactions
119 Replies
4K Views
Nimeiona hii huko mtandaoni nikadhani ni vema kushea
3 Reactions
8 Replies
429 Views
Kila mwaka wanavyuo wengi wana graduate na kurundikana mtaani bila ajira huku wakihangaika kutafuta ajira bila mafanikio. Serikali kama mdau wa ajira nchini inapaswa kuja na wazo la ajira za...
26 Reactions
241 Replies
15K Views
Tanzania inalenga kuongeza upatikanaji wa nishati ya umeme nchini kufuatia mpango wa kuanza kununua nishati hiyo kutoka Ethiopia. Tayari mamlaka za nishati kutoka nchi hizo mbili zipo kwenye meza...
6 Reactions
75 Replies
3K Views
Wakuu, Mdau humu alihoji bilioni mbili zimetumikaje kwenye soko ambalo limejaa bati tu na vijumba vi fremu vya mchongo? Jamaa wamekuja na ufafanuzi, kuwa bilioni 1.5 ndio zimetumika kwenye ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Jamii ambazo ziliendekeza Sera za kuzaa Sana Kama India na China , kwa sasa raia wake ndo hawa wanakuja kuanzisha Madube huku wakijiita wawekezaji. Yaani unatoka China kuja kuwaibia wananchi...
4 Reactions
15 Replies
814 Views
WANANCHI wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme wameiomba serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
November 2024 Peramiho, Songea https://m.youtube.com/watch?v=LTA_VeAJpuE Hospitali ya Rufaa ya Misheni ya Mtakatifu Joseph Peramiho wilayani Songea mkoani Ruvuma imezindua huduma ya mashine ya...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Wakuu habari za Leo? Naomba kwanza kusema ya kuwa Mimi nilikuwa ni Mwajiriwa wa Kanisa la Anglican Tanzania na nilikuwa nikifanyia Diocese ya Central Tanganyika (DCT) pale Dodoma. Nimefanya nao...
5 Reactions
8 Replies
985 Views
1.0 In a quest to enhance and attract new natural experiences to city centers, the design, planning, and revitalization of certain urban spaces align with strategies aimed at improving the quality...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu...
5 Reactions
10 Replies
948 Views
Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu. Tangu nikiwa mdogo hii...
3 Reactions
13 Replies
875 Views
US Aid Cuts to Africa: A Looming Crisis or a Catalyst for Self-Reliance? The landscape of international development in Africa has been significantly altered by recent decisions from the United...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Kuna moja hiyo Kali nimeisikia tena kutoka kwa 'Mandata' Wenzake wa Kijitonyama alikokuwa akiishi, ila ngoja niuchune.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mtu mmoja anaonesha ananafasi zaidi ya moja Watuwekee uongozi ili tujue kila jambo mtu wa kumfikia
3 Reactions
6 Replies
701 Views
Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako...
2 Reactions
2 Replies
419 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…