Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini ni muhimu kuweka plan nzuri? Siku moja wanafunzi wanne wa chuo wanaosoma programme moja walicheza hadi usiku sana hawakusoma na kesho yake kulikua na Test imepangwa. Kulivyokucha wakawaza...
4 Reactions
11 Replies
625 Views
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Habari zenu wakuu. Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya. Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi. Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
16 Reactions
125 Replies
6K Views
Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
1 Reactions
5 Replies
509 Views
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024. Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia. Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe. IKO...
9 Reactions
111 Replies
4K Views
Kuna watu wanadanganyana eti kwenda mbinguni ni kubet. Hivi logic ya mpako wa wagonjwa nini? Kwamba unaweza kubet dakika za mwisho ukapaa kwma kwa zari? Logic ya kutubu dhambi ni nini? Kwamba...
2 Reactions
5 Replies
474 Views
Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
0 Reactions
3 Replies
633 Views
Hivi ofisi zao wanafanya kazi mpaka jumamosi?
0 Reactions
1 Replies
395 Views
Kwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini hapo wanajiita makomando wa JU, hivi tofauti na JWTZ kuna Jeshi lingine lina makomando?
6 Reactions
97 Replies
6K Views
WAZIRI wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Songea Mjini, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewatembelea na kuwafariji waathirika wa mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo JAnuari 3, 20255 katika Manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Kumekuwa na huu utaratibu wa kuweka mashine ambapo mteja anatakiwa kuchukua coupon na kusubiri kuitwa ndio apate huduma; Naomba kupata maoni yako 1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini...
1 Reactions
3 Replies
422 Views
Na WAF - Bukoba, Kagera Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi Milioni 674.3 kwa mikoa Saba ambayo ni Njombe...
0 Reactions
2 Replies
509 Views
Kuna mtu mmoja alieleza kuwa katika ukuaji wake aliwahi kuambiwa neno ambalo lilimfanya ajisikie vibaya kwa muda wa miaka zaidi ya kumi. Alieleza hayo wakati akifanya mahojiano na chombo kimoja...
21 Reactions
68 Replies
3K Views
Familia Iliyotembea Uchi wa Mnyama ‘Tunatii Mizimu’ Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Bakari Msulwa amelazimika kuitembelea familia ya Seleman Mpange, mkazi wa Kijiji cha Lukulunge Kata ya Mvuha...
7 Reactions
69 Replies
10K Views
Wanasema mbongo mpe kichwa cha habari kinatosha Stori yote itateremka.....
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu) Dkt. Rose Likangaga akifunga mafunzo hayo kwa niaba ya Mjumbe wa Tume, Dkt. Zakia Mohamed Abubakar. Mkurugenzi Msaidizi wa...
0 Reactions
1 Replies
325 Views
Abdul aliona mama yake anakosolewa vikali na upinzani ameamua naye kuingia kwenye michezo michafu mbaya Sana zaidi hata ya Hayati Magufuli kuipasua CHADEMA Hadi sasa amefanikiwa kuivuruga chadema...
1 Reactions
3 Replies
509 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali inatenga kiasi cha Shillingi Billioni 300 kwa mwezi kwa ajili ya kulipa madeni...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…