Habari wana Jf
Nahtaji kubadilisha umiliki wa gari yangu toka kwa mhusika nilienunua toka kwake,tatizo lililopo ni kuwa sina kitambulisho cha yule alieniuzia(first owner),ila nina mkataba tu ambao...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF.
Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie...
Jumla ya miradi ya maendeleo 84 inatekelezwa kwa ubia baina ya sekta binafsi na Serikali kupitia kituo cha ubia Kati ya Seikali na Sekta binafsi (PPPC) kikieleza miradi miwili ya Barabara za...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40.
Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo...
Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa...
Habari wadau.
Leo majira ya Saa 8 mchana, nikiwa Maeneo ya Mlimani city napata mahitaji yangu Mara akatokea jamaa mmoja mwenye asili ya Asia, akiwa na kavaa nguo nyeusi juu mpaka chini na viatu...
Heri ya Mwaka Mpya Wana JF Wote!
Ninaomba msaada wa mawazo kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna mtu amenipa wazo la kufungua kiwanda kidogo cha juice na kuwa washirika wa biashara (business...
Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria...
Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani...
Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa...
Wakuu, nasikia tren ya SGR Dar-Dodoma imezima katika kituo cha kidete.
Pia soma:
Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Serikali...
OMARI Mohamed (22), mkazi wa Yombo jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kujibu, shtaka la kutaka kumuua msichana baada ya kukataa kumwingilia kinyume na maumbile...
Unakuta mtu kakupa lifti kwenye gari yake binafsi, tena wala hukumwomba alafu cha ajabu sasa...barabara nzima anazungumzia mambo ya mafuta, mara oooh nnapokuaga safari huwa nasave hela nyingi...
Mkiambiwa hakuna cha kumzidi akili binadamu mjue hakuna kwelikweli. Huyu jamaa wanamwita akili Mnemba au kwa lugha ya kuzoeleka zaidi akili bandia kwakweli ana vituko sana. Nitaweka hapa baadhi ya...
Kwako jenerali mwamunyange :
Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!!
Kwanza kabisa napenda...
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.
1. Jambo hili linaweza kuwa...
Katika mambo ambayo yanichekesha ni kutokana na nchi za africa jinsi wanavyotukana nchi za magharibi na kusifia urusi,china,iran, Pakistan, korea, na nchi nyingi zinazopambana na nchi za...