Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kufuatia kukamatwa kwa mwandishi wa Habari Dina Maningo, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema mwandishi huyo bado hajapatiwa dhamana jambo ambalo wamedai kuwa kinyume...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
TAMKO KULAANI KUKAMATWA KWA WAANDISHI WA HABARI KANDA YA ZIWA Dar es Salaam, Tanzania - Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali vitendo vya kukamatwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
503 Views
TAMKO KULAANI KUVAMIWA KWA MWANDISHI WA HABARI Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unalaani vikali kitendo cha kuvamiwa na kuzuiwa kufanya kazi za uandishi wa habari kinyume...
3 Reactions
8 Replies
749 Views
Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma. Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Mwandishi wa Habari Eugen Peter anatafutwa na Familia yake pamoja na Ofisi yake ya Ayo TV Dar es salaam baada ya kutoweka bila kujulikana alipo leo ikiwa ni siku ya tisa. Mara ya mwisho Eugene...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tarhe 12.14.22.24 Nina usaili utumishi, nyie ni miongoni mwa watu waliomo kwenye list ya wanaotakiwa kuniombea, nina zaidi ya mil13 zenu, na kwajinsi hali ilivyo ngumu kitaa hamtokaa mzipate...
1 Reactions
1 Replies
324 Views
Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa...
3 Reactions
4 Replies
917 Views
Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA. So CHADEMA...
3 Reactions
14 Replies
688 Views
Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile...
0 Reactions
7 Replies
475 Views
Habari Wanajukwaa, wale wa Kariakoo poleni tunawaombea Mungu awe pamoja nanyi. Back to my topic, mimi ni mmoja wa waajiriwa wapya, namshukuru Mungu Sana, ninaomba ushauri. Mdogo wangu kamaliza...
1 Reactions
9 Replies
711 Views
Ni taarifa ya kusikitisha kuhusu kufariki kwa kingunge wa sheria, Jaji Mstaafu na Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Tanzania. Amefariki Leo. He has closed his case in this world. Rest in peace the...
16 Reactions
102 Replies
9K Views
Habarini ndugu zangu. poleni na majukumu.. nina mdogo wangu mwaka huu anamaliza chuo course ya udaktari mwaka wa 5, baada ya hapo anatarajia kupangiwa hospitali kwaajili ya kufanya internship...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo Katika taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, nimemuona mama yetu mama Maria Nyerere akipokea picha ya mwalimu Nyerere toka Kwa mpiga picha mzungu. Kusema ukweli nimefurahi sana kumuona...
6 Reactions
10 Replies
803 Views
Mbowe kaanza visingizio mapema. Kwani lissu Kula kitimoto na bia unahusika nini na uchaguzi? Lissu Kula Sato na ugali wa mtama inakujaje kwenye uchaguzi kwa nini haukusema hayo mapema iweje Leo...
6 Reactions
8 Replies
645 Views
Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu yeyote aliyepata mke kwenye sehemu hizo atoe ushuhuda pia anipe muongozo Kwa maana mpaka Leo natafuta mke wa kuishi nayo sehemu hizi Kwa sababu Wahudumu...
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametangaza kwa masikitiko kifo cha Meja Jenerali Martin Shiminzi Busungu (Mstaafu), kilichotokea tarehe 24 Disemba, 2024 majira ya saa 10:15...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Salam wakuu, Straight to the point, wangapi wameshawahi kukisikia hiki kitabu au kukipitia? Kwa ambao bado basi ni kitabu Cha ajabu haswaa, ambacho it can determine your...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni maeneo gani Morogoro mjini ninaweza kupata lodge/ guest zenye sifa zifuatazo; Pawe pasafi sana Gharama affordable Isiwe na baa au makelele Pawe na uzio na usalama pia
0 Reactions
1 Replies
583 Views
Mratibu wa Mtandao wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Tanzania, Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba licha ya jitihada ambazo zimefanyika katika zoezi la uokoaji kwenye gorofa...
0 Reactions
4 Replies
747 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…