Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mliowahi kutana na kesi kama hii NAOMBA msaada wenu maana ni mwaka sasa umetimia na nahisi nitakuwa nadaiwa ada ya maintainance kubwa kiasi Kwamba nikiamua kuweka hela yeyote inakatwa papo...
0 Reactions
2 Replies
367 Views
Wakuu Tanzania inashika nafasi ya tatu katika orodha ya nchi waagizaji wakubwa wa nguo za mitumba barani Afrika, ikiwa na thamani ya $148 milioni kwa ripoti ya mwaka 2022. Biashara hii...
2 Reactions
16 Replies
842 Views
Wakuu, Naona baada ya JamiiForums kuwazundua huko wajuba wametenga fedha kukarabati kituo hicho. Kusoma zaidi uzi wa mdau aliyewasanua angalia hapa: KERO - Geita inatoka dhahabu lakini Stendi...
0 Reactions
8 Replies
951 Views
Mtu mmoja asiyefahamika ambaye amepachikwa jina la Pdidy anatafutwa kwa udi na uvumba kwa tuhuma za kubaka wanawake na watoto kimiujiza. Inadaiwa mbakaji huyo inapofika usiku kuanzia saa 7 usiku...
1 Reactions
9 Replies
791 Views
Rais mteule Donald Trump ameitaka Panama kupunguza ada kwenye Mfereji wa Panama au irejeshe kwa udhibiti wa Marekani, akiishutumu nchi hiyo ya Amerika ya kati kwa kutoza "bei kubwa" kwa meli na...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Wakuu kweme ni matunda gani? Yana faida gani na wapi yanalimwa Tanzania?
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
16 Reactions
102 Replies
6K Views
Kuanzia asubuhi hakuna usafiri wa kutoka Lindi kuja Kilwa, Somanga, Lindi kwenda Mtwara na Lindi kwenda Masasi. Madereva wamegoma wakimlalamikia RTO mpya aliyekuja, ambaye ni mkali ile mbaya...
0 Reactions
8 Replies
736 Views
Wakuu, habari za jioni, Katika maisha, mtu anaweza kuwa na kariba ya kawaida kabisa kiasi cha mtu mwingine kutojua au kutozoea tabia yake, hali inayoweza kusababisha kudharauliwa. Hata hivyo...
36 Reactions
197 Replies
14K Views
NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amekiri kuwa msingi dhaifu wa mafunzo ya lugha ya Kiingereza kwa wanafunzi wa sekondari nchini umechangia kwa kiasi kikubwa matokeo...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mkoani Tanga, Timotheo Mnzava, amemwagiza Mganga Mkuu wa Wilaya hiyo kuchukua hatua kali dhidi ya watumishi wa Kituo cha Afya Magoma wanaodaiwa kuwalipisha...
0 Reactions
4 Replies
456 Views
Niende moja kwa moja kwenye jambo ambalo limekuwa changamoto na kero kwa Watanzania walio wengi. Kero yangu naipeleka kwa mamlaka inayohusika na kutoa vitambulisho vya taifa (NIDA). Kuna baadhi ya...
4 Reactions
1 Replies
332 Views
Nawasalim kwa jina la JMT, Naamin kila mmoja wetu ni mzima wa afya na kwa wenzetu ambao hawako sawa kiafya basi mwenyezi Mungu awafanyie wepesi. Amin Wakuu maisha yana mitihani mingi sana wakati...
110 Reactions
298 Replies
33K Views
Nimeshindwa kuridhika na mfumo wa malipo ya bili za maji. Naomba Idara ya Maji wazingatie kuleta mfumo wa LUKU kama wa TANESCO, ili tuweze kununua maji wenyewe kulingana na matumizi yetu. Pongezi...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Haya mambo hayoooooo! Mwanamama mmoja nchini Marekani aliyetaka kuutengeneza mwili wake uwe wakuvutia zaidi amejikuta matatani, baada ya kudungwa sindano za saruji na gundi ili kuongeza ukubwa wa...
3 Reactions
3 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Momba CONDESTER SICHALWE CCM amelalamika kuwa mawazo, maoni wanayotoa bungeni yamekuwa ayasikizwi na serikali, pamoja na ayo ameongeza kuwa taarifa za ukaguzi za mkaguzi Mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
407 Views
Habari ndugu wana jamii forum, naombeni ushauri wenu hawa askari wa barabarani wamekuwa wakiandika fine bila mpangilio, nadaiwa 150000 kwa sasa nawaza nisilipe maana hata hvo hiyo hela kwa sasa...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa mtu yeyote ambaye ameshawahi kusafiri kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine bila shaka atakubali kuwa ni bora usahau kitu kingine chochote wakati unasafiri lakini sio paspoti yako. Soma pia...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…