Hivi hizi online media nani anazi-regulate? Nyingi zinaandika upumbavu! Hebu fikri Hutu mwandishi anayejua mpaka leo kwamba kocha wa Yanga ni Nasredine Nabi anajitambua Hutu? Yaani mpaka ameondoka...
Kwenye maandiko ya biblia tunasoma kwamba Yesu aliibariki mikate mitano kulisha watu elfu tano wakala na wakashiba iliwezekana vipi?
Mathayo 14:19-20
Akawaagiza makutano waketi katika majani...
Nimeshaona post kadhaa siku za nyuma vijana wa Kariakoo kupotea wakati nipo kwenye daladala ilibidi nimuulize jamaa mmoja kipindi cha nyuma kwanini vijana wa Kariakoo wanapotea sana, akasema...
Jamani kwa wale ambao mmewahi kuishi uchagani, watu wa huko wanafundishwa nini kuhusu pesa?
Watu karibia wote wanaotoka uchagani ni wafuatiliaji wazuri sana wa pesa.
Jamii zote zinapenda pesa...
Natamani waziri husika awaelekezi hivi; Wanapofika maeneo ya vijijini ambapo wananchi wamehamasika kwa gharama zao wenyewe wakajitengenezea miradi yao ya maji safi, wasiwaingilie miradi yao.
Hii...
Yaani hawa dawasa ni upuuz,wajinga,wazandiki. Hawa watu sio binadam wa kawaida. Hawajali ubinadam utu haya wala nidhamu.
Maji yapo kufungua hawataki. Watafungua dakika chache mno na kuyafunga...
Kumchelile? Kwali mwenga!
Kila nikipita humu JF lazima nikutane na Uzi unazungumzia ukatili wa mwarabu. Miaka yangu yote ya kuperuzi humu jf imekuwa hivyo. Na zaidi ni kwa namna gani waarabu...
1.Kung’ata kucha.
2.Kuliza viungo vya mwili (Cracking joint) kama vidole nk.
3.Kuvuta maneno “ummm” au “aaaaah” kila unapotaka kusema jambo. Mfano aaaah unajua… ummm sio kweli…
4.Kulamba...
DAR ES SALAAM; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amesema ana sifa na uwezo wa kuongoza nafasi ya uenyekiti kwa weledi.
-
Lissu amesema kutokana na...
Nazidi kuomba JamiiForums itusaidie kupaza sauti hii ni zaidi ya mara ya tatu naandika hapa.
Kutoka Nyahigi wilayani Nyamagana mkoani Mwanza tunateseka maji yanatoka kwa week mara moja ambayo ni...
Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sisi wakazi wa Kiseriani hasa maeneo ya Kilimani tuliungiwa maji mwezi wa tatu mwaka huu.
Ajabu maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku. Hatuelewi kisa cha kuungiwa...
Licha ya Waziri Aweso kusema maji yawepo weekends, huku Morogoro hawafanyi hivyo. Mtaa wa Mfuruni kwa mama Milinga tunapewa maji siku Moja kwa wiki ambayo ni ijumaa tu tena masaa mawili au chini...
Wiki mbili zilizopita kulitokea changamoto ya bomba la maji kupasuka maeneo ya Maili Moja – Kibaha, hali hiyo ikasababisha maeneo mengi kukosa maji, tuliporipoti DAWASA – Kibaha kila siku wakawa...
Wananchi wa mkoa wa Mwanza hususani wilaya ya Ilemela na Nyamagana tunapitia katika kipindi kigumu cha upatikanaji wa huduma ya maji licha ya mradi mkubwa wa uzalishaji maji kata ya Butimba...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
Nije Moja Kwa Moja kwenye mada. Nahitaji kujua ni maeneo au eneo gani iwe Eilaya/Kata au kijiki/mtaa ambalo hawajafikiwa kabisa na huduma ya maji ya mamlaka, na Wakazi wake wanatumia maji ya...
Leo Jimbo Katoliki Moshi lilikuwa na Upadrisho wa mashemasi 18 katika Ibada ya misa hiyo ambayo iliiongozwa Askofu Mkuu huyo mstaafu wa wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam.
Mwisho wa Ibada...