Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa...
23 Reactions
63 Replies
3K Views
Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU KRISTO Hii tukio limetokea mwanza na kuthibitishwa na kamanda mtafungwa Binti anasoma kidato cha tano huko mkoan Tanga Apumzike kwa aman sana Kijana...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Nungu Nassoro (25), Mfanyabiashara na Mkazi wa Kata ya Lukobe, Wilaya na Mkoa wa Morogoro amekutwa akiwa amejiua...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Sasa hivi kumekua na ongezeko kubwa la baadhi wa watu kuwatumia watoto wadogo kujipatia kipato kwa kuomba omba. Wengi kati ya hao wanao ombaomba wanaonekana wanauhitaji wa chakula na fedha...
1 Reactions
9 Replies
552 Views
Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme. Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme...
1 Reactions
2 Replies
385 Views
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya...
1 Reactions
3 Replies
693 Views
Habari wadau, Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Masama Kilimanjaro hii sehemu ni balaa wakuu umeme unakatika sio chini ya mara 50 kwa siku yaani kila baada ya dakika 5 umeme unakatika nina wiki ya pili kikazi huku aisee sio poa nikiwauliza...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Hivi jamani ndugu zetu tatizo la umeme na sehemu nyingine mnazoishi ni hivi hivi kama huku tulipo sisi maana huku Wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi siku umeme ukiwaka kutwa nzima kuanzia asubuhi hadi...
2 Reactions
15 Replies
974 Views
Mimi ni mkazi wa Mbagala, Mbande, na kwa kweli hali ya umeme katika maeneo haya ni ya kutisha. Maeneo yote yanayozunguka Chamanzi, Mbande, na Kisewe yanakumbwa na matatizo makubwa yanayohusiana na...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Jeshi la polisi mkoani Kilamanjaro linamshikilia mwanamke mmoja maarufu kama mama Baraka pamoja na mwanae wa kiume aitwae Baraka mwenye umri wa miaka 20 kwa kosa la mauji ya mumewe ajulikanae kwa...
12 Reactions
79 Replies
3K Views
Hivi karibuni (takribani miezi mitatu sasa) nimeshuhudi baadhi ya watu huko mitaani wakijihusisha na uwekezaji katika jukwaa linalofahamika kama FIC (wenyewe wanawaita Football investment...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa! Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu? Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga...
0 Reactions
4 Replies
281 Views
Kinachoendelea huko . F. I. C nihatar mambo yamekua meusi tii Mashoga zangu walitia mizigo ya 2 million Kila mmoja Kwa Sasa wnapumulia mashine
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Mojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakili Fatma Karume ameamua kuweka wazi kesi yake ya talaka mahakamani ambapo katika ugawaji mali mahakama imempa 75% dhidi ya 25% kwa upande wa mtalaka aliyekuwa mume wake. Kinachonishangaza ni...
12 Reactions
181 Replies
9K Views
Je, wazazi wako walikua na ukaribu na wewe, walikutia moyo, waliongea na wewe pale ulipohitaji, walitenga muda kwa ajili ya kufanya vitu pamoja na wewe au upendo wao ulionyeshwa kwa kutimiza...
1 Reactions
37 Replies
918 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…