Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali ya kuwaficha watoto wenye ulemavu, kama vile wale wenye ugonjwa mfanano(Down syndrome) na usonji (autism), ni suala linaloathiri haki zao za msingi, ikiwa ni pamoja na haki ya elimu, kucheza...
1 Reactions
2 Replies
769 Views
Katika kile kinachosemekana ni kuficha ukweli pengine kwa sababu ya nyadhifa zao ama kuhakikisha hakutokei matatizo ya kifamilia, Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni, Freeman...
13 Reactions
545 Replies
83K Views
Ibara ya 12(1 )ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Binadamu wote huzaliwa huru, na wote ni sawa, pinga ubaguzi. Ubaguzi kwa msingi wa haki za binadamu ni tendo la kutendea mtu au...
2 Reactions
2 Replies
500 Views
Yani unaweka kila chaneli ya muziki ni vibinti viko nusu uchi na kibaya zaidi hata lyrics za siku hizi ni matusi ya wazi wazi. Yani unaingia tu insta, msambwanda huo, tuuuuu!!. Yani ni vibinti...
22 Reactions
156 Replies
5K Views
Wadau habari ya wakati huu. Mwaka jana nilikuwa Dar maeneo ya tabata kisukulu. Nilienda kumsalimia mjomba. Katika moja ya maongezi alinieleza mjukuu wake mmoja ambaye hasikii sana na anatabia...
2 Reactions
5 Replies
401 Views
Rushwa kwa sasa tanzania ipo nje nje na tena inasemwa hadharani as if hatuna takukuru tena. Ona chama cha chadema kinavyojaa rushwa tena nyingine kutika kwa abdul lakini takukuru kimya. Rushwa...
2 Reactions
2 Replies
411 Views
Zaidi ya wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, wilayani Temeke wameathirika kwa kubabuka ngozi katika maeneo mbalimbali mwilini baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yenye sumu. Mafuta hayo...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Serikal ilipoanzisha Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (Commission for Mediation and Arbitration - CMA) na sheria mahususi ya Ajira na Mahusiano Kazini Sura 366 ya mwaka 2019 pamoja na Mahakama Kuu...
1 Reactions
1 Replies
424 Views
Baada ya siku kadhaa tangu Mwananchi kuripoti kuhusiana na taarifa za kutoweka kijana, Shadrack Chaula (24) aliyetuhumiwa kuchoma picha ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
(1) Hupunguza hamasa ya uzalishaji kwa kuwafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata pesa kwa kucheza kamari tu. (2) Husaidia sana kuongezeka kwa idadi ya masikini na idadi ya matajir na hivyo...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Itoshe tu kusema katika Dunia hauwezi kupendwa na kila mtu. Mtume alipigwa na kung'olewa jino. Yesu alitundikwa msalabani na akapigwa bila kosa. Na Mitume yote ilikuwa unapigania haki. Vizazi vya...
0 Reactions
0 Replies
238 Views
Wakuu Kama mmesoma threads zangu za nyuma, ni wazi kwamba napitia kipindi kigumu kimaisha. Sasa wiki hii Kuna kibarua nilipata hapa Arusha wakahitaji kadi ya nida na ya chanjo ya Corona, nikawapa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina Mbaruku mussa anayekadiriwa kuwa na miaka 47 makazi wa mtaa wa olmoti kata ya olimoti mkoani Arusha anahofiwa kufariki baada ya kudaiwa kupewa Dau la fedha...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
Wazee mambo vipi Mnyunguli hapa. Aisee hali ni mbaya ubebari ni balaa watu wanajali pesa tu takwimu zinaonesha vijana na magonjwa ya figo ni kama chupi na sehemu za siri...hii inachangiwa na...
32 Reactions
125 Replies
5K Views
Waziri Mkuu wa Canada anayemaliza muda wake, Justin Trudeau, ametangaza kuundwa kwa baraza la uhusiano wa Canada na Marekani kukabiliana na tishio la Rais mteule Donald Trump la ushuru wa 25% kwa...
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Wakuu heshima mbele. Nimetoa elfu 40 kwa sim banking kuja kwenye lain yangu ya simu ili niweze kulipia huduma fulan ambayo nimeshaitumia na ndio nataka kuondoka. Pesa imekatwa kwenye CRDB...
10 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanajamii Forums mwalimu M waipopo Nwaka amefariki dunia 12/1/2025 Muhimbili hospital alipokuwa anapata matibabu. Mwalimu katika uhai wake alifundisha shule mbalimbali za secondary...
21 Reactions
37 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wadau wote. Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya kudhibiti wadudu wanaokula mbao za paa la nyumba. Nyumba yangu ina miaka 6, ila Mafundi wamepanda darini kufanya marekebisho...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo tarehe 16 Januari 2025 muda huu tuko road kuelekea makaburini kumzika dogo mmoja mtoto wa dada ambaye alikufa kwa ajali ya pikipiki almaarufu bodaboda. Huyu kijana alikuwa bodaboda, jana...
0 Reactions
7 Replies
458 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…