Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali...
29 Reactions
136 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Januari 3,2025 lilipokea taarifa kutoka kwa Uongozi wa Shule ya Baobaob iliyopo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani ya kutengenezwa na kusambazwa katika Mitandao ya...
1 Reactions
1 Replies
944 Views
https://www.youtube.com/watch?v=TUrJvSaBNEQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
Hamas walitegemea watachapwa hata miezi 3 alafu UN na Iran waingilie kati wawaokoe ila kilichofatia ni miezi kadhaa ya kusaidiwa kwenda kugombaniana mabikra 72 huko waendapo.
3 Reactions
6 Replies
398 Views
Nafikir kama unaimiliki namba ya Nida au kitambulisho Cha NIDA hasa wale walioandikishwa wakati zoezi la utoaji wa NIDA linaanza utakubaliana na mimi mambo yafuatayo: 1.picha zetu sio halisia...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Serikali ya Uingereza na Serikali ya Tanzania zitaendelea kushirikiana katika kukabiliana na makosa makubwa yanayovuka mipaka ili kuzidisha hali ya usalama na ustawi wa jamii wa nchi hizo...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
Huyu binti Ngwasi wengine wakiumuita Mwasi ni mbunge kupitia vijana na anatokea mkoa wa Mwanza. Pia ni mwanasheria ambaye aliwahi angaziwa ahapa JF kupitia uzi huu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Anonymous
Hapa ni MWANZA, Wilaya ya Misungwi eneo la Kata ya Usagara, Kijiji Nyang'omango, Kitongoji cha Nyaruhama katika eneo hili kuna tatizo kubwa la maji safi na salama Wananchi wanatumia maji...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Nikusalimu Ndugu!! Kwa kuwa tumepewa UHAI basi wajibu wetu ni kuhakiki wajibu unatimizwa wa Kila mmoja wetu akiwa na huu Mwili, usijipe woga Wala USIOGOPE Kuwa na wazo mbadala. Maisha ya hapa...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Kumesikika stori nyingi kuwa unapoenda kwa mtalaam na unapotoa kuku/mbuzi/ng'ombe etc kama sadaka pale unapotaka mafanikio ya jambo fulani kinachofatia kiroho ni wewe kukabidhi familia yako katika...
2 Reactions
2 Replies
464 Views
Mkuu wa Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture, Sadoki Stephano ameelezea madai ya kuwa kuna changamoto ya Wanafunzi waliohitimu chuoni hapo kutopata vyeti huu ukielekea kuwa mwaka wa...
1 Reactions
1 Replies
525 Views
Katika kila jamii inayokusudia maendeleo endelevu, uongozi wa kweli ni nguzo muhimu. Kanisa Katoliki, kupitia shule zake za seminari, limekuwa mstari wa mbele katika kuandaa vijana kuwa viongozi...
3 Reactions
7 Replies
889 Views
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Israel Paulo (36) mkazi wa Leguruki wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia baada ya kupondwa korodani na uume wake kwa madai ya kushindwa kuleta...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari za leo wana Jf. Naombeni msaada wa mawazo ya kumfanya mtoto wangu apende kula. Mtoto wangu ni wakike anaumri wa miaka 5 sasa. Afya yake sio mbaya ila tatizo lake HAPENDI KULA. Kila siku...
13 Reactions
131 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa Naombeni ushauri juu ya hali hii ambayo kidogo inanipa stress Mimi nikijana nimeoa na nina mtoto mmoja Lakini kuna hali fulani ambayo mke wangu anayo Hali hiyo ni kutaka...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya uhalifu maeneo ya karibu na Chuo Polytechnic College Mkoani Tabora, ambapo waathirika wakubwa ni Wanafunzi wa Chuo hicho, Jeshi la...
1 Reactions
0 Replies
547 Views
Wadau, kheri ya mwaka mpya wa 2025! Bila kupoteza muda nataka niwasanue wale wenye tamaa na pesa za fastafasta kabla vilio havijawa vingi. Ni hivi, Kuna scam inaendelea mtandaoni ipo hivi, 1...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Huko Sengal na Gambia kuna tawi la imani ya Kiisalmu lenye umaarafu na ushawaishi mkubwa maeneo hayo linaloitwa "Baye Fall" ambalo lilianza zaidi ya Karne moja iliyopita. Hawa Waislamu wa Baye...
2 Reactions
4 Replies
399 Views
Katika Dunia ya Sasa au tuseme Dunia ilipofikia kuna mambo kabisa unayaona si ya kawaida lakini yamegeuzwa kuwa ya kawaida sana. Kawaida lakini si kawaida. Siku zote ilikuwa ni ajabu sana kijana...
4 Reactions
5 Replies
497 Views
Tukiwa angalia bado vijana tunafanya chaguo mbalimbali bila kuzingatia siku zijazo. Wakati mwingine chaguzi hizo hutumaliza katika maisha yetu ya baadae. Yafuatayo ni baadhi ya mambo ambayo mtu...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…