Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kijana tumeuanza mwaka mpya 2025, hivi ndivwe vipaumbele vyako:- 1. Uwe mwaka wa kuoa na kuazisha familia. 2. Usiwe mwaka wa kujenga na kununua...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Moja ya masharti waliyowekewa raia wa Marekani Januari 20, 2025, kabla ya kuingia katika ukumbi wa "Capital One Arena" jijini Washington DC, ilikuwa ni kuacha mabegi na mikoba nje ili waweze...
0 Reactions
5 Replies
821 Views
Akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Salmin Amour iliyopo katika Manispaa ya Singida hivi karibuni Makamu Mwenyekiti Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Mohamed...
1 Reactions
5 Replies
462 Views
Yani unakuta mtu anakuja na theories sijui ame-google wapi, anaziunganisha unganisha ili tu muonekane mnaosomesha watu shule EMs ni maboya. Hii yote ajipatie faraja kwa maamuzi magumu...
22 Reactions
56 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii...
0 Reactions
4 Replies
562 Views
Wataalamu watupe Elimu zaidi, sasa hivi wengi wanapika kwa kutumia gesi. Je, ni kweli kwamba unapotumia simu karibu na jiko la gesi wakati wa kupika kunaweza kusababisha mlipuko?
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Anonymous
Mtusaidie kupaza Sauti na kuwafikishia wahusika Ndio tunachangamoto ya Kivuko lakini Hii Bei ya kivuko cha Azam sea tax kutoka Kivukoni kwenda kigamboni ni kubwa mno kutoka sh 200 mpaka Sh 500...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Inasemekana kuwa Ilikupooza mpasuko ndani ya CHADEMA, Lisu katulizwa kuwa hata kama akishidwa atapewa nafasi ya kugombea Uraisi kupitia Chadema. Ila nafasi ya uenyekiti ibaki kwa Mhe. Mbowe.
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au...
1 Reactions
2 Replies
278 Views
Anonymous
Mheshimiwa Waziri Juma Aweso, Wakazi wa Kinyerezi, hasa Wakazi ambao tupo karibu na mitambo ya kuzalishia umeme ya Kinyerezi; tunasikitika kukiarifu kuwa hatuna huduma ya maji safi kabisa, leo...
2 Reactions
12 Replies
751 Views
Zamaradi tv kuweni na heshima, kwanini hivi Sundar Pichai kweli ni mwanadada hata kama ni makosa ya kiufundio sio kwa namna.
4 Reactions
7 Replies
658 Views
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Wizara ya Mipango na Uwekezaji pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekutana kujadili namna ya kuondoa changamoto katika sekta ndogo ya chumvi nchini...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Utangulizi Kwa zaidi ya miongo miwili iliyopita, bajeti ya kijeshi ya Marekani imekuwa ikifikia wastani wa dola bilioni 700 kwa mwaka, ikikusanya jumla ya takriban dola trilioni 17.5 hadi mwaka...
2 Reactions
17 Replies
911 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu Wasabato: Natambua mnaumizwa sana kiakili na kisaikolojia hasa mnapojikuta hamuwezi kuupindua ukweli huu wa Kibiblia na badala yake mnaishia kulaumu Kanisa la...
0 Reactions
5 Replies
431 Views
Mkuu Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa. Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Mh waziri una watendaji viburi sijawahi kuona. Au wamegoma? Kuna shida gani ndani ya wizara yako? Tumekaa miezi na miezi maji hayatoki na leo hakuna maji pamoja na ujio wako. Hawa watendaji...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Sir John Bagot Glubb, mwanajeshi na mwandishi wa karne ya 20, alitoa mchango mkubwa kwa historia kwa kuchunguza jinsi mataifa yanavyoinuka, kustawi, na hatimaye kuporomoka. Katika kazi yake...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Trump kweli kaamua,ila ataweza?? Naona maana nyingine zimekaa kikatiba !Muda utaamua! Vipi ikija bongo?? Trump has vowed to end birthright citizenship. Can he do it? President Donald Trump has...
1 Reactions
6 Replies
666 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…