Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC)...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Katika kuendeleza mradi wa kutoa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni Zanzibar, Taasisi ya Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) inaendelea kufanya juhudi kuhakikisha inafikia shule zaidi...
2 Reactions
2 Replies
416 Views
Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na TCRA, Desemba 2024, idadi ya akaunti za pesa mtandao ambazo zilitumika angalau mara moja katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Mwanafunzi wa Darasa la Tatu katika Kijiji cha Uruwila, Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi amejinyonga kwa kutumia sweta lake alipokuwa amelala chumbani kwake. Akitoa taarifa ya tukio hilo Januari...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, Naungana nanyi wote mlioko Tanzania kwa msiba wa kijana mwenzetu Ruge..! Hakika kazi yake ya hapa duniani ameimaliza na mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Pia...
10 Reactions
74 Replies
14K Views
Aslaam, Nafanyakazi katika kampuni binafsi na mshahara wangu hauzidi 600,000. Mpaka sasa nina kama miaka mitatu hivi kwenye hi kampuni. Wakati naanza kazi malengo yangu makubwa ni kutafuta mtaji...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Dkt. Festo John Dugange, Naibu Waziri TAMISEMI "Mikopo ya asilimia 10 inatolewa kwa makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kupata mikopo isiyo na riba. [..] Aidha, umri wa ukomo...
0 Reactions
4 Replies
653 Views
Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, amegiza Vituo vya Afya na Hospitali kuwa kusiwepo na Mtanzania yeyote atakayekosa huduma za afya kwa sababu ya kukosa fedha. Tamko hilo amelitoa leo...
0 Reactions
4 Replies
484 Views
Pole sana sana kwa msiba mkubwa. Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu!
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mama hajawahi kuwa na jambo dogo. Amehamisha familia 1000 hapo na kuwalipa fidia kupisha ujenzi wa bwawa kubwa la Maji la Kidunda ambalo Kwa miaka na miaka lilikuwa stori za mdomoni. Zaidi ya...
0 Reactions
10 Replies
845 Views
Habari za usiku huu. Nimeangalia Malumbano ya hoja ITV kuhusu kusitishwa kwa USAid na haya ni maswali Yaliyokosa Majibu ivyo mwenge kujua na asaidie majibu. 1. Ikiwa mtu atahitaji/watanzania...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Hivi ni kweli Mwendokasi wamekosa wataalamu kabisa wa kutengeneza mfumo wa malipo ya kuscan kwa kutumia smart phones. Hoja ya kwamba sio watu wote wana simu janja ni hoja mufilisi ukilinganisha na...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu...
1 Reactions
2 Replies
344 Views
Anonymous
Idara mbalimbali zinapopeleka madokezo kwa ajili ya kusainiwa na kulipa, yanachukua muda mrefu bila kusainiwa na kulipa pia, mwisho wa siku unaambiwa madokezo yamepotea. Tunaomba TAKUKURU Katavi...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) Mkazi wa Salasala, Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema wiki hii nitaenda Arusha kwa nabii mkuu Dr. Geo Davie na mimi nikakusanye maokoto ya mpunga au gari nitalia mpaka anionee huruma. Nataka kufungua duka la...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Picha inajieleza, je ulianzia ipi kati ya hizo na unakumbuka mambo gani? Mimi nilianzia na "Mjumbe ana hoja pale" ya kwenye kigozi cha kiunoni, Nakumbuka 2002 nikiwa mitaa ya Unga limited Arusha...
3 Reactions
13 Replies
578 Views
Sera ya faragha (Privacy Policy) ni maelezo ya kina kuhusu jinsi taarifa binafsi zinavyokusanywa, zinavyochakatwa, kutumika na kulindwa katika programu ya simu au tovuti husika. Wengi wetu...
3 Reactions
4 Replies
853 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…