Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

GT. What is wrong with the below leter?????? Total Hoax!!!!! WAFUNGWA HONG KONG WAENDELEA KUFUNGUKA, MWINGINE AANDIKA BARUA ISOME HAPA
1 Reactions
62 Replies
18K Views
Mjadala ulizuka baada ya muimbaji wa nyimbo za Injili kuchoma moto gari alilopewa kama zawadi na Mchungaji, ambapo baadhi ya watu walisema hilo ni kosa kisheria wengine wakisema siyo kosa...
1 Reactions
1 Replies
452 Views
Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini. Wanywaji wa Pombe hizo...
3 Reactions
11 Replies
709 Views
Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES...
3 Reactions
15 Replies
979 Views
https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80% Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
Wachina wanaojidai kuwa ndio wafadhili wetu wakubwa wa miradi mbali mbali hapa nchini baadhi yao wanatumia mwanya huo kutuhujumu hasa pale wanapoamua kuwa soko huru la kununua nyara za taifa letu...
5 Reactions
116 Replies
10K Views
RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu. Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi...
1 Reactions
3 Replies
459 Views
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. "Wanawake wamekuwa wakilalamika wakichukua fomu wanaanza kufatwa kwamba wao' si mna viti vyenu Maalumu ' tuachieni sisi huko ( jimbo), ndio maana tuna sema kuna...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Mimi ni mgonga ulimbo mwenye matumaini tele wakati wagonga ulimbo wenzangu wakiwa addicted na porn na betting. Basi mimi niko addicted na page & website za sekretarieti ya ajira maana nina imani...
3 Reactions
3 Replies
436 Views
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata kinara wa dawa za kulevya jijini Dodoma, Suleiman Mbaruku Suleiman maarufu Nyanda mwenye umri wa miaka 52 ambaye mamlaka hiyo...
16 Reactions
62 Replies
6K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara...
16 Reactions
136 Replies
6K Views
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar. Sensa ya watu na makaazi ya mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni...
1 Reactions
0 Replies
381 Views
Habari WanaJF Nimekuwa nikijiuliza maswali kwanini kuna zoezi zima la verification codes wakati wa zoezi la ujazaji form za mikopo ya elimu ya juu kulipia?, Kwanini wasitengeze vyeti vya kuzaliwa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Baadhi ya wananchi Wanaotakiwa kupisha Ujenzi wa Bandarikavu katika eneo la Nandanga, Kata ya Mpemba, Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mkoani Songwe wameilalamikia Ofisi ya Serikali ya Mtaa...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
4 Reactions
7 Replies
549 Views
Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi. Waheshimiwa wanaogopa...
0 Reactions
0 Replies
189 Views
Katika siku za hivi karibuni naona Dollar inazidi kuporomoka sijajua sisi tumepunguza importation au Shilling inazidi kuimarika au biashara imekuwa na mwelekeo mzuri watu hawafichi tena dollar...
2 Reactions
6 Replies
555 Views
Siku ya jana niliibiwa pesa ndani ya daladala kiasi cha 350000 yani usiku mzima nimekosa usingizi. Hapa nilipo kichwa kinauma hatari 😭😭
39 Reactions
190 Replies
8K Views
Kama ambavyo tumewahi kujadili hapa JF kuhusu makelele yaliyokithiri katika miji yetu. Ipo haja katika mabadiliko ya sheria za mazingira ambayo yatajadiliwa bungeni kuhakikisha hivi vipaza sauti...
1 Reactions
10 Replies
558 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…