Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi.
Hii inatokana na adhabu...
Napenda kutoa malalamiko yangu makali na kero kuhusu kucheleweshwa kwa malipo ya fidia kwa ardhi tuliyotoa KIPUNGUNI kwa ajili ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa serikali. Taarifa ya tathmini ya...
Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika...
Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeiambia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, baada ya kupima mkojo wa Wema Sepetu walibaini una bangi.
=========
SHAHIDI wa kwanza, Mkemia Elias Mulima...
Mileva Marić Einstein hiyu alikuwa mke wa kwanza wa Einstein.
Ushahidi unaonyesha kuwa alichangia kwa kiasi kikubwa katika nadharia ( theory ) za Einsten.
Lakini hakuwahi kupewa sifa yoyote...
Hasira ni hisia ya kawaida ambayo kila mtu hupitia wakati mwingine. Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mtu kuwa na hasira, na zinaweza kutofautiana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine...
Habari, nimekaa nimewaza nipo Tanzania lakn naishi kama mkimbizi kula yangu km mpira wa danadana Kuna muda uanguke Kuna muda uturie mguuni,
Imefika hatua wazazi nilienda likizo mara Moja...
Nimekutana na hii ishu na tuko lala salama kufunga ndoa takatifu sas Leo nimebaini mwezangu ana chale kifuani, kwapani kiunoni
Nilitafakari sna kwa vile sijawai kukutana na huyu mwanamke mchna...
Za jion jamani.
Kuna afisa mmoja wa JWTZ kambi ya pale Kibaha maili moja,ana misifa sana anaporuhusu ndege za kivita kupita chini chini kabisa ya usawa wa nyumba za watu.
Anafanya kitendo hiki...
Jeshi la Wananchi wa Tanzania,JWTZ limepewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara vyenye thamani ya Tsh 16.9bn katika Shule za Sekondari 1,696 nchini kote.
Leo akiongea na waandishi wa habari...
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema askari wake wawili wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo...
Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art"
Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake...
Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya...
Kuna namba ya South Africa ilinicheck WhatsApp wakasema nikiwa natazama bidhaa Amazon nitakuwa napata commissions na kwa kuanzia nikatizama palepale nikapata 5000. wakanitumia link Telegram. Sasa...
Kuna mambo mengine yanachekesha sana na kutafakarisha sana imagine mjini kuna vijwe vya wavuta bangi lukuki tena karibia kila mtaa na vina fahamika. Ajabu ni kwamba kuna baadhi ya police wanaishi...
Mada hii ni maalum kwa wale waliomaliza chuo, na hii inatokana na upungufu wa ajira, si tu Tanzania bali dunia nzima.
Sasa ukizingatia wengi baada ya kumaliza vyuo hukimbilia mijini sana sana Dar...
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa...
Kwenye mahusiano / ndoa ukiona hakuna maelewano kati yenu daily ni magomvi yasiyokwisha solution ni Divorce , Matukio ya kikatili mke kuua mume / mume kuua mke huwa kuna red flag zinaonekana b4...
Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka...