Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja...
Aisee huwa najiuliza sana mimi mtu wa kuzunguka sana kama mbwa riziki yangu iko miguuni huwa nakuta sana gari aina ya Alphard au Noah tena namba E inauza korosho na unakuta wamewasha AC kabsa hivi...
Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.
Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu...
Kuanzia 2020 na kurudi nyuma bunge lilikuwa la moto ulikuwa unapita kila sehemu unakuta watu wanasikiliza kwenye radio, wengine wanaangalia kwenye runinga.
Lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa...
Katika imani kuna mambo yanafanyika sana. Na leo hii naona msalaba kwa baadhi yenu kwenye paji la uso.
Waislam wanafunga tu kwa kunuia hii kupakana matope usoni hii ni ishara gani.?
Kwa nin kama...
Nyumba nyingi za uswahilini ujenzi wake mkubwa vyoo huwa uwani(nyuma ya nyumba).Lakini wapangaji wengi ugeuza sehemu kubwa ya kupumzikia.
Kama wapangaji wengine ushindwa kujiachia chooni kupiga...
Hakuna kitu cha maana ambacho tumeisaidia dunia. Kiufupi tupo tupo tu, Tunasubiria watu wa mashariki ya mbali waje watusaidie.
Tumejiandaa vipi majanga ya asili kama tsunami, tetemeko etc...
Na Mwandishi Wetu.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku...
Nimefika clinic ya NHIF saa 08.03, hadi kutika saa 09.15 hakuna daktari vyumba vyote 1-3. Maelezo yanatolewa kuwa wako "round". Tunadubiti dakika kama kumi anapatikana daktari mmoja( chumba no1)...
Jamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm...
Kheri Mbugani kuliko Barabara ya kuvuka kipawa.
Tunaishukiru serikali Kwa kutujengea Barabara lakini Barabara hii imekuja na karaa na huzuni Kwa familia nyingi za wakazi wa kipawa.
Barabara...
Historia imejaa mifano ya mataifa yaliyoangamizwa si kwa vita vya nje, si kwa mafuriko wala matetemeko, bali kwa sumu ya uchawa. Wananchi walioshindwa kuhoji mamlaka, waliobadili akili zao kuwa...
Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa.
Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna...
Wakuu haihitaji research yoyote ya kisayansi kujua umuhimu wa kula. Pia haihitaji research kujua kuwa watanzania wengi hawapati chakula cha kutosha achilia mbali balanced diet. Yaani hata ugali...
Baada ya Treni ya SGR kukwama awali asubuhi ya leo, Desemba 4, 2024, mimi ni mmoja kati ya abiria ambao walikuwemo kwenye treni hiyo, nikaona JamiiForums imeripoti kuhusu tukio hilo.
Mpaka muda...
Karibuni masterminds.
Ni yapi hawezi kukuambia?
Ni yapi yatabaki nyuma ya pazia?
Ni maagano yapi ulio fungumana nayo bila wewe kujua?
Nini inakuww Hatma ya mfumo mzima wa roho na nafsi yako?
Niende moja Kwa moja kwenye maada,Kwa mujibu wa waamini wa bibilia na Quran ni kuwa binaadam ameumbwa na mungu
Sasa naomba kujua Kwa mujibu wa miungu ya kiafrica binaadam alitokea wapi? Au...
Baada ya mshtakiwa katika kesi Namba Cc.5866 /2024, Baraka Benedicto anayedaiwa kumlawiti mtoto kushindwa kutoa utetezi wake siku ya Februari 26, 2025 akitoa sababu mbele ya Mahakama kuwa anaumwa...
Habari zenú, niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na kuwa mimi si mtaalamu kuna maswali najiuliza kuhusu kinachoendelea mashariki ya DRC lakini nakosa majibu. Naomba mwenye utaalamu/ ufahamu...