Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za...
1 Reactions
8 Replies
471 Views
Mtoto wangu sio Mjinga ila ana changamoto tu ya kuwa 'Slow' kwenye kuelewa Masomo yake jambo ambalo kidogo linaleta changamoto kwenye Ufaulu wake na kwasasa inamfanya ajisikie vibaya pia kwani...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
📌NIRC Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji...
0 Reactions
6 Replies
431 Views
Hili suala la ukosefu wa ajira ni tatizo la dunia nzima ila hatupaswi kubweteka kisa majirani nao wana tatizo kama letu. Kama mwananchi mzalendo nina ushauri kwa serikali ili kupunguza tatizo la...
0 Reactions
10 Replies
506 Views
Mjane mmoja aliyejulikana kwa jina la Beatrice Lyimo, mkazi wa Mbezi Makabe, jijini Dar es Salaam, yupo kwenye maumivu makali baada ya mahakama kutoa uamuzi kuwa nyumba yake ipigwe mnada mnamo...
14 Reactions
158 Replies
7K Views
Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi...
1 Reactions
3 Replies
315 Views
Umoja wa Walimu wasio na ajira nchini Tanzania (NETO), umemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan na Serikali, kuwasaidia Walimu hao kupata ajira na kuweka usimamizi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni .. Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa... Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Niipi siri ya kutumia Energy drinks na Paracetamol, Kwa lengo la ku boost nguvu za kiume.....?? ↳Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana hili swala la vijana kutumia Energy drinks +...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku...
1 Reactions
8 Replies
679 Views
𝗛𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗼 𝘀𝗮𝗮 𝗽𝗲𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗱𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱 Kama utaniambia ni saa gani naweza tumia kwa mwaka 2025 basi hii TWS earphones smartwatch 2.01 ni saa ya kijanja ambayo yenye kukufanya uonekane smart...
1 Reactions
3 Replies
312 Views
Napenda sana vinywaji baridi lakini huwa inafika stage nasumbuliwa na tonsils. Kumeza mate kwa maumivu na taabu, Ubaya wa huu ugonjwa ukianza, mafua yanafuta, kikohozi nacho kinaanza, n.k.
0 Reactions
4 Replies
358 Views
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
Sijaona sarafu nyingine. Hata vitu kununua bei zinapangwa kuanzia 500. Labda viwili miatano au vitatu 1000. Ni ishara ya mfumuko wa bei?
2 Reactions
20 Replies
922 Views
Wana JF, Leo Tunaweka Mezani Ukweli Usiosemwa! Muda mrefu tumeshuhudia nyumba yetu ikisimamiwa na mama mwenye kilemba chake. Yeye huja na tabasamu jepesi, lakini macho yake huangaza mbali, kana...
5 Reactions
12 Replies
695 Views
MFANYABIASHARA Khamis Luwonga (38), anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya mkaa, amedai haogopi kunyongwa hadi kufa wala adhabu nyingine yoyote...
58 Reactions
262 Replies
30K Views
Nitakuwa likizo ya Ramadhani. "Enyi mlio amini! Funga imeandikwa kwenu kama ilivyokuwa imeandikwa kwa wale waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Allah." (Qur'ani, Surah Al-Baqarah, 2:183)
7 Reactions
19 Replies
742 Views
Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo: 1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom