Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kamati ya kudumu ya Bunge ya hesabu za serikali (PAC) imetembelea mradi wa kufua umeme wa Kikuletwa uliopo chini ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC)wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na kueleza...
0 Reactions
2 Replies
354 Views
Akili yangu inaniambia kuwa Mkuu wa Nchi hayupo vyema kwa sasa hali hiyo inafatia kutokana na vuguvugu la uchaguzi wa mwaka 2025,inaonekana kuwa anawaza kugombea Urais ila kuna mgomo wa chini...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Waafrika hatuendelei sababu ya wizi, wengi wanaokabidhiwa kitengo wanafilisi serikali. Vivuko vya kigamboni vimetushinda, magari ya mwendokasi yametushinda, reli ya tazara imetushinda wamepewa...
0 Reactions
3 Replies
257 Views
HabariJF Msaada wapendwa, Naomba kujua gharama za utarii wa ndani, kwa mtu mmoja or pair iwe serengeti, mikumi, ngorongoro, rubondo n.k. Pia sehem ya mapumzko gharama zake bila kusahau msosi...
1 Reactions
24 Replies
913 Views
WASOMI ni watu walio sitarabika WASOMI awa andiki andiki upuuzi Mkono wa mjinga unaandika popote pale ndo walivo wasomi wa bongo mumekosa kazi basi kazi kuwa kucoment ujinga ujinga tu kwenye...
5 Reactions
17 Replies
804 Views
UTEUZI: Rais wa Tanzania, Dtk. Samia Suluhu Hassan amemteua Michael Kachoma kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega akichukua nafasi nafasi ya Veronica Vicent Sayore ambaye...
9 Reactions
49 Replies
8K Views
Ukweli Kuhusu Wachache au Wengi Kwenda Mbinguni Ukoje Maandiko Katika Kitabu cha Luka Kitabu cha Luka 13:23-28, kinasema: 23 "Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache...
0 Reactions
0 Replies
418 Views
Wakuu, Hizi radi za leo si mchezo! Zimepiga radi na zile flash hadi unahisi labda Yesu ndio anashuka sasa. Watoto nimewakuta room kwao wamepiga magoti wanasali kwa uoga [emoji23] Radi za leo ni...
29 Reactions
218 Replies
13K Views
Habari zenu waungwana wa JamiiForums. Itakapofika tarehe 11 mwezi wa September mwaka huu wa 2021, itakuwa imetimia miaka 20 kamili tangu siku majengo pacha ya kibiashara katika jiji la New York...
6 Reactions
220 Replies
16K Views
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewakamata jumla ya Wanawake na mabinti 16 wanaojihusisha na mtandao wa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za majukumu, Ninakaa na watoto watatu wa kuamzia miaka 8 mpaka 19, watoto hawa yaani ni awasikii kiasi kwamba hata chumba chao tu wanacholala kutandika au kufanya usafi ni mpaka...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Mwanaanga mwenye asili ya India, Kapteni Sunita Williams na mwenzake mzoefu wa NASA, Butch Wilmore, wako tayari kuruka kuingia kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga (ISS) kwa spacecraft mpya kabisa...
3 Reactions
6 Replies
999 Views
Wanawake wajasiriamali kutoka Mkoani Arusha wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwezeshaji wake wa Mitungi ya gesi takribani 1,000 iliyogaiwa bure kwa wajasiriamali wa chakula Mkoani Arusha...
1 Reactions
2 Replies
246 Views
Rangi ni kitu muhimu sana kwenye ubunifu wowote wa mbao na mazao yake kwenye kutenhengeza vitu vingi Kuna wenye mapenzi na rangi asilia ya mbao lakini kuna wenye kupendelea rangi za kupuliza na...
5 Reactions
46 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo amepiga marufuku shughuli zote za kilimo katika bonde la magore kibeberu kata ya Mzinga. Hatua hiyo ya kupiga marufuku shughuli zote...
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Sheikh Kipozea utamsikia kwenye media kipindi cha miambatano siku ya wapendanao na kukaribia mfungo. Au ndio taaluma anayoweza kufiti na zile comedy zake.
1 Reactions
14 Replies
599 Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amemuagiza Mkandarasi Kutoka kampuni ya CCECC ya Nchini China anayetekeleza mradi wa Maji Tunduma - Vwawa kuhakikisha anakamilisha kazi kwa wakati huku akisisitiza...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameeleza sababu za huduma ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam katika njia ya Mbagala hadi katikati ya mji kuanza Mei mwaka huu badala ya Machi, kama...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Anasema wahitimu wenye degree waende VETA ? Tatizo kubwa la vijana ni ajira hili lipo wazi. Kwamba kwenda VETA ni muarobaini wa kukabiliana na tatizo la ajira?,halaah sijaelewa Vijana wote...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Usikate mti bila sababu unaweza kuutengeneza vizuri uka kupunguza na juu ukafunga makuti ikawa kama mwamvuli. Chini ama katikati ukaweka bench laini kukaa kupumzika huku ukila na kunywa kama...
1 Reactions
1 Replies
225 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…